greenwoods kwenye cheti feki nakuomba ufunge mdomo wako kabisa, kwani vita vyake huviwezi. Magufuli mwenyewe PhD thesis yake ni FEKI kwa kuwa aliigilizia kwa mwenzie (PLAGIARISM)Babako alikuwa cheti feki ,na wewe uliyetiwa mimba shuleni kisha magufuli kukataa kuendelea kusoma lazima umchukie.
unaonaje hizo tsh. uhangaikie kesi ya mbowe,ambaye ni gaidi suspect, huni kwamba ukichelewa ,hutamuona mwamba wako maisha yako yote!!,Niko tayari kukuchangia tsh mil 10 kwa ajili ya kuwezesha mchakato huu , nafahamu kwamba mtuhumiwa kishazikwa , lakini hukumu ya kesi hii inaweza kutoa mwongozo kwa walio hai
Fungua kesi mwanangu tukapige minyororo lile kaburi kama enzi ya mjerumani.Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa
2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa
3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.
4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake
5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.
6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.
7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule
8. Bulembo.. n.k.
(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.
Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.
Naomba kuwasilisha.
nachangia mafuta ya safari za mahakamaniNiko tayari kukuchangia tsh mil 10 kwa ajili ya kuwezesha mchakato huu , nafahamu kwamba mtuhumiwa kishazikwa , lakini hukumu ya kesi hii inaweza kutoa mwongozo kwa walio hai
Fanya haraka tena kesho nenda kwa msajili wa mahakama kuu ufungue jarada hilo.Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa
2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa
3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.
4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake
5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.
6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.
7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule
8. Bulembo.. n.k.
(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.
Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.
Naomba kuwasilisha.
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.

Niko tayari kukuchangia tsh mil 10 kwa ajili ya kuwezesha mchakato huu , nafahamu kwamba mtuhumiwa kishazikwa , lakini hukumu ya kesi hii inaweza kutoa mwongozo kwa walio hai
Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Watanzania wengi vichaa
Alipokuwa anatukana kwanini hukumshauri?Hizi nguvu mnazotumia kumtusi hayati mngezihamishia katika mambo mengine yenye tija tungefika mbali...
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa
2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa
3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.
4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake
5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.
6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.
7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule
8. Bulembo.. n.k.
(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.
Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.
Naomba kuwasilisha.
Hicho kwangu Kama chakula. Unataka kusema nn mkuu? Kwamba hashitakiwi?
Mkuu chama kimerudi kwa wenye chama. Vivyo hivyo nchi imerudi kwa wenye nchi. Naishia hapo
😁😁😁Niko tayari kukuchangia tsh mil 10 kwa ajili ya kuwezesha mchakato huu , nafahamu kwamba mtuhumiwa kishazikwa , lakini hukumu ya kesi hii inaweza kutoa mwongozo kwa walio hai
hili ni la kipuuzi kwani ?mkiitwa kuchangia mambo ya msingi hata hatuwaoni.
Kwa hiyo toka 2015 hadi march 2021 itaonekana hatukuwahi kuwa na rais?Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.