Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Anayetetea awamu ya tano ni mshirikina kasoro vitendea kazi ndio hamna.

Mwendakuzimu alikuwa ni mkosi kwa Taifa.

Mkoa wa Rukwa una RC, Dc, Ras, Das's, wakurugenzi, wabunge, madiwani, wenyeviti wa vijiji halafu unadanganya JF mkoa wote huu kamulishwa Mwingira?

Hizi roho mbaya za kichawi na kishirikina ndio urithi mlioachiwa na marehemu wenu mwendakuzimu.
We umeahirisha kwenda huko mbona kunakusubiri bro. Cheti fake naona kilikupagawisha mpaka kurukwa akili .pole yako .kama Una shida na psychiatric kuwa free tukusaidie . Magu name will never perish Mzee
 
Umesahau madhila tuliyoyapata wakazi wa kimara,mbezi,kibamba na kiluvya. Ile bomoabomoa aliifanya kisiasa tu...CHADEMA ilifanya wakazi sisi tuwe wakimbizi tu. Wengi tuliwazika kwenye janga lile. Ila kule kwake kanda ya ziwa wao walikula matunda ya nchi kwa kulipwa fidia zao.
 
Hizi nguvu mnazotumia kumtusi hayati mngezihamishia katika mambo mengine yenye tija tungefika mbali...
Wamarekani mpaka kesho 'wanamtukana' Nixon, je hawajafika mbali?
Maovu yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote, bila kujali yupo hai au amekufa.
Usipoangalia ulipojikwaa, utajikwaa kila mara, na werevu watakuita MPUMBAVU.
 
Bwana chato ni Baba wa Taifa wa:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3. Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4. Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5. Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6. Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7. Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8. Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9. Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10. Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11. Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12. Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.

14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24. Ufisadi na wizi wa kutisha wa 1.5 trilioni kama ulivyoibuliwa na CAG profesa assad.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa kutisha kiasi hiki.

25.Kuua wakosoaji wake pamoja na wapinzani wake kisha maiti zao kutupwa mitoni na kwenye fukwe za bahari maiti zao zikiwa kwenye viroba.

Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko

View attachment 2062388View attachment 2062389
Ningeshiriki uchimbaji wa kaburi lake,ningeshauri tuchimbe kilometa 20 kwenda chini ya ardhi. Maana anaweza kuja fufuka huyu
 
Zamani kipindi wasiojulikana kushika hatamu kulikuwa na komenti nzuri...sema siku hizi hamna ikiandikwa hivi...

,,Mchakato wa kufa huanza hivihivi,,,
 
Mhusika ayupo kwann tusidili na wapumbavu waliokubali kutumika ambao still wapo hai wangegoma kutumika uovu usingefanyika.
Wao ndo tuwashughulikie nao watangulie kuzimu si wanajulikana si wanaishi na Jamii.Dereva aliyembeba Azory akauliwe si yupo, walinzi waliofungua geti area D si tunaishi nao,waliomteka Roma,Nondo,Ney wa mitego,waliopora pesa bureau de change nk si still wapo wanaishi mitaani, tuwashughulikie nao the same kwa jinsi walivyotenda wa kuzimu waende,wa kufilisiwa wafilisiwe nk.
Tuwatende the same walivyowatenda ndugu same Ili kuiponya Jamii maana Kazi ya kisasi ni kuiponya Jamii iliyoumizwa.
 
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-

1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa

2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa

3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.

4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake

5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.

6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.

7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule

8. Bulembo.. n.k.

(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.

Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.

N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.

Naomba kuwasilisha.
Bro huna akili samahani kwa hilo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na uhanga (Sexless) kwa muda mrefu madhara yake kisaikolojia ni mabaya sana, ndiyo maana watu wanashauriwa angalau kuwa wanapata kakitu mara moja moja ili uhanga usipande kichwani.
Kabisa mkuu!..

Na mtu mwenyewe ndio kama huyu
Screenshot_20211116-153331.jpg
 
Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Ni kama Adolf Hitler...
 
Huu Sasa utoto unaotuletea.we Kama unadhani watu wengi wanamchukia magufuli umebugi kwa taarifa yako hamzidi watu laki Saba wenye chuki isiyo na sababu kwa magu

At least me mtu kunishawishi anitajie kesi ya lissu kupigwa risasi kwanini magufuli hakuchukua hatua za haraka basi hilo ndo DOA la wazi hayo mengine sijui mtu kuporwa hela sijui kuonewa NI UTOPOLO

MAGUFULI BADO ANAPENDWA NA MAMILIONI YA WATANZANIA ZAIDI YA WATU MILLION 20 WANAMPENDA NA WAME MMISS
Nani anakudanganya? Wajinga ndio walidanganywa na propaganda zake za kugawa hela na kununua Jogoo..... na kujidai mcha Mungu huku akifanya maovu.
 
Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Siku zote marehemu husifiwa hata kama alikuwa nyanga'u.Ukiona marehemu ananangwa badala ya kusifiwa itakuwa imekaaje?
 
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana. Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika. Mifano hii hapa:- 1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa 2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa 3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake. 4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake 5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni. 6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli. 7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule 8. Bulembo.. n.k. (Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi) Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi. Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao. N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii. Naomba kuwasilisha.

Magufuli atawatesa Sana kwa miongo kadhaa mpaka mje kumsahau. Sisi tunamshukuru kwa kutuondolea watumishi hewa na kuweka mifumo imara kwenye payroll...SGR,BWAWA LA NYERERE,STAND MIKOANI,MIFUMO YA AFYA, AMANI KTK MIPAKA YA NCHI AMEIACHA SALAMA...pia kutujengea barabara maana yetu ndo kasimamia pesa tumetoa sisi.atabaki kwenye kumbukumbu mpaka wakati usio na kipimo...Mimi na wewe tutasahaulika ila sio magufuli na lazima siku moja kwenye noti awekwe ndipo utajua hujui. Tena baada ya nyerere ndiye mtu anayeongozwa na kupendwa na wenye nchi..fanya tafiti DOA alilonalo katika UTAWALA wake NI lissu kupigwa risasi kwanini magufuli hakuchukua hatua za haraka yeye Kama rais wa nchi Kama hakuhusika alipaswa atoe kauli au afanye Jambo watu wawajibike...pamoja na hayo Bado wenye nchi wakikumbuka mazuri yake wanakosa say huenda ndiye au siye muhusika maana nchi yetu NI kubwa mno......all in all Bado NI rais ambaye hatakuja kutokea labda kidogo juma awesso namuombea Mungu amjalie boss wangu huyu siku moja awe rais wetu.
 
Katika Karne nyingi zinazokuja Magufuli Atakumbukwa Sana kuliko Rais yeyote ukimwondoa Nyerere, Kama vile Marekani inavyomkumbuka J F Kennedy, Uingereza inavyomkumbuka Winston Churchill, ameacha miradi yenye uwezo wa kudumu Nusu millennium angalia SGR,Bwawa, Busisi, miongoni mwa Mingi ,,,,
Ukisema umshitaki kisa Kuna watu walipata madhira, Kila uongoz watu wanapata madhira hata wakati wa mwl akina kambona,Mzee Masha,Sokoine, nk, Njoo kwa Mzee wa ruksa, Mkapa ndo ivyo wazanzibar 2001 walikufa Kama njugu,akina Kolimba pR Malima, mzee wa tabasamu Unamjua Ulimboka, Mwigira kuchomewa matrecta 2012, Mwangosi kupigwa risasi,Dr Theobald Mvungi kuuwawa..
 
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-

1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa

2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa

3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.

4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake

5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.

6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.

7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule

8. Bulembo.. n.k.

(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.

Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.

N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.

Naomba kuwasilisha.
Huyo unayemshtaki yupo kaburini tangu march 2021. Chunga sana majaji wasije kufikiri kesi imefunguliwa na mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom