Miaka 62 ni dogo? Kwa uelewa wako waliokufa chini ya Miaka 70 ni sababu ya roho mbaya zao? Mambo ya kiroho unayashadadia kufurahisha moyo wako tu nothing else. Kwamba Bush alikuwa na roho nzuri kuliko Kennedy. Wazungu waliwafunga babu zako minyororo so huyo mungu wako wa uchochoroni kakupa nini special compare na hao waliowacharaza viboko babu zako.Maalim alishamaliza umri wa kibiblia, Magufuli amekufa bado dogo tu.
Roho mbaya, kiburi na ukatili ndio vimefanya Mungu aingilie kati.
Hata ile mijoka mikubwa mijabali Mungu huipaza mbinguni ili isidhuru binadamu, ila huyu marehemu wenu ametwaliwa kuzimu.