Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Hao niliyowataja kwenye uzi wanatosha kumtia hatiani Magufuli

Wote niwalopokaji tu, maana hata wewe unaweza kuongea chochote na watu wenye akili hawata shabikia makelele yako mbaka udhibitishe unacho lalamika.
 
Ni ujinga mtupu!

Wanaoishi uhamishoni wanangoja nini kurejea na magufuli hayuko karibia mwaka sasa?

Watumishi hewa ni wapumbavu na wezi wa nchi yetu ndo ilipaswa mshughurikiwe ipasavyo!
 
Maalim alishamaliza umri wa kibiblia, Magufuli amekufa bado dogo tu.

Roho mbaya, kiburi na ukatili ndio vimefanya Mungu aingilie kati.

Hata ile mijoka mikubwa mijabali Mungu huipaza mbinguni ili isidhuru binadamu, ila huyu marehemu wenu ametwaliwa kuzimu.
Vipi kuhusu watoto wadogo wanaofariki kila Leo?
 
Rubbish thread!

Magufuli atawatesa Sana kwa miongo kadhaa mpaka mje kumsahau



Sisi tunamshukuru kwa kutuondolea watumishi hewa na kuweka mifumo imara kwenye payroll...SGR,BWAWA LA NYERERE,STAND MIKOANI,MIFUMO YA AFYA, AMANI KTK MIPAKA YA NCHI AMEIACHA SALAMA...pia kutujengea barabara maana yetu ndo kasimamia pesa tumetoa sisi.atabaki kwenye kumbukumbu mpaka wakati usio na kipimo...Mimi na wewe tutasahaulika ila sio magufuli na lazima siku moja kwenye noti awekwe ndipo utajua hujui.
Tena baada ya nyerere ndiye mtu anayeongozwa na kupendwa na wenye nchi..fanya tafiti DOA alilonalo katika UTAWALA wake NI lissu kupigwa risasi kwanini magufuli hakuchukua hatua za haraka yeye Kama rais wa nchi Kama hakuhusika alipaswa atoe kauli au afanye Jambo watu wawajibike...pamoja na hayo Bado wenye nchi wakikumbuka mazuri yake wanakosa say huenda ndiye au siye muhusika maana nchi yetu NI kubwa mno......all in all Bado NI rais ambaye hatakuja kutokea labda kidogo juma awesso namuombea Mungu amjalie boss wangu huyu siku moja awe rais wetu.
Tutayaunganisha na majambaxi yote mliojifanya hamjulikani.
 
Ibilisi huwa anavuma Sana. Si unaona hata Mambo ya connection za mirinda yanavyotembea kwa kasi kuliko hata injili!!?
Pole sana ulitumbuliwa vyeti fake nini, dili zilikatwa mirija yake lazima kulia, wengi waliokuwa na michepuko 6 aliikimbia yote nakubaki njia kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokuwa unavuta bangi jitahidi wakati wa kusokota utoe hizo mbegu
 
Ukitaka kupendwa na kusifiwa tenda kinafiki na isivyo haki. Ukitaka uchukiwe na ulimwengu huu tenda ilivyo haki. Mifano ya waliotenda haki wakachukiwa ni lukuki. Binafsi sishangai. Mtazamo wangu ni kwamba mengi yalikuwa bora sana na machache sana huenda watu hawakufurahishwa. He did well and good as a human being.
 
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-

1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa

2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa

3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.

4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake

5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.

6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.

7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule

8. Bulembo.. n.k.

(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)

Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.

Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.

N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.

Naomba kuwasilisha.
Soma katiba upya
 
Alaaaa
200 (10).gif
 
Vip umeshapata dawa ya kufanya uchi uwe mdogo!? Kuna wahindi wanazo dawa na ata ya bikra feki wanayo.
 
Mpuuzi mkubwa sana. Heshima ya magufuli hata walio hai hawana. Peleka hiyo kesi ntamuwakilisha jpm tuone kama utanishinda.

Nchi imerudi kama zamani upuuzi wote kazini, ujambazi, wizi nje nje afu unaongea ujinga?
Kama mambo yamerudi kama zamani basi hamna kitu alichokifanya huyo Magufuli??..

Workdone is equal to zero..
 
Bwana chato ni Baba wa Taifa wa:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3. Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4. Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5. Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6. Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7. Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8. Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9. Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10. Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11. Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12. Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.

14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24. Ufisadi na wizi wa kutisha wa 1.5 trilioni kama ulivyoibuliwa na CAG profesa assad.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa kutisha kiasi hiki.

25.Kuua wakosoaji wake pamoja na wapinzani wake kisha maiti zao kutupwa mitoni na kwenye fukwe za bahari maiti zao zikiwa kwenye viroba.

Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko

20211229_150956990.jpeg
16407794172240.jpg
 
Soma katiba upya
Rais hashitakiwi kwa makosa aliyoyatenda wakati akitekeleza kazi zake za urais. Baaasi!

Sasa kutaka kuchoma shamba la korosho la mhe Zitto ni kazi gani za urais alikuwa anatekeleza hapo? Hakuna.
 
Back
Top Bottom