babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
huyo jamaa alukuwa zaidi ya shetani ndio maana Mungu akaamua kutuepusha na kikombe kileRubbish thread!
Magufuli atawatesa Sana kwa miongo kadhaa mpaka mje kumsahau
Sisi tunamshukuru kwa kutuondolea watumishi hewa na kuweka mifumo imara...pia kutujengea barabara maana yetu ndo kasimamia pesa tumetoa sisi.atabaki kwenye kumbukumbu mpaka wakati usio na kipimo...Mimi na wewe tutasahaulika ila sio magufuli na lazima siku moja kwenye noti awekwe ndipo utajua hujui.
Tena baada ya nyerere ndiye mtu anayeongozwa na kupendwa na wenye nchi..fanya tafiti
wewe umefika mbali wapiHizi nguvu mnazotumia kumtusi hayati mngezihamishia katika mambo mengine yenye tija tungefika mbali...
Sawa ila inatosha kwa aliyofanya sio habahuyo jamaa alukuwa zaidi ya shetani ndio maana Mungu akaamua kutuepusha na kikombe kile
hata Idd Amin bado anasemwa sana na hadi nyimbo zake tumeimba wakati kafa miaka hiyoHivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Hivi kwanini huwa unapenda kurudia/kudurufu hoja za mtoa kama zilivyo? Ni ninj hasa ubachokusudia?N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.
Naomba kuwasiliana.
Basi mama, usianze siku yako vibaya. Hata mm anenikwaza sana ila ndio hivo watu wanatafuta ugali tuu hapa. Msamehe kama mm nilivomsamee, ajenda yao ya kumchafua magufuli imebuma vibaya sanaMpuuzi mkubwa sana. Heshima ya magufuli hata walio hai hawana. Peleka hiyo kesi ntamuwakilisha jpm tuone kama utanishinda.
Nchi imerudi kama zamani upuuzi wote kazini, ujambazi, wizi nje nje afu unaongea ujinga?
Kwaio tangu dunia iumbwe aliyekufa ni magu tuu. Mnachekesha sabaahuyo jamaa alukuwa zaidi ya shetani ndio maana Mungu akaamua kutuepusha na kikombe kile
Mtoa mada ndio jambazi mwenyewe sasaMpuuzi mkubwa sana. Heshima ya magufuli hata walio hai hawana. Peleka hiyo kesi ntamuwakilisha jpm tuone kama utanishinda.
Nchi imerudi kama zamani upuuzi wote kazini, ujambazi, wizi nje nje afu unaongea ujinga?
Hao wote ni wapigaji hamna lolote.Zitto, Mwingira, Diallo, n.k hujawasikia ??
Unafungua kesi lini,isiwee porojo TU za mitandaoni.Maana mbongo Kwa porojo hajambo!! Action zeroOrodha ya vigogo wote hao huamini? Sasa mahakama itathibitisha
Ukifuatilia hawa wote ni wale waliopata hizo Mali Kwa njia zisizo halali . Wale waliopata Mali kihalili huwezi kuona wamlalamikia magufuli Ila wote waliopata Mali kwa njia za shortcut awamu ya tano wameisoma namba vilivyo. Hao akina Bulembo , Dialo N.k.Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa
2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa
3. Padre wa Songea ambaye Sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.
4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake
5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.
6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.
7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule
8. Bulembo.. n.k.
(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.
Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.
Naomba kuwasiliana.
Aliupiga mwingi.Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa
2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa
3. Padre wa Songea ambaye Sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.
4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake
5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.
6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.
7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule
8. Bulembo.. n.k.
(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.
Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.
Naomba kuwasiliana.
Huna pesa ww kma mumeshindwa kujenga ofsi ya chama chenu hyo 10 mil kajenge ufipa kwanza ndio ufanye upuuzi huoNiko tayari kukuchangia tsh mil 10 kwa ajili ya kuwezesha mchakato huu , nafahamu kwamba mtuhumiwa kishazikwa , lakini hukumu ya kesi hii inaweza kutoa mwongozo kwa walio hai
Aisee huo mjani uliouvuta mwaka huu tafta mbinu za kuuacha ili mwaka 2022 Kidogo ukukute upo salama, pia nakushauri mwakani uanze kusali sana na uokoke ikibidi, Tofauti na hapo mmmh, sijuiMagufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa
2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa
3. Padre wa Songea ambaye Sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.
4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake
5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.
6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.
7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule
8. Bulembo.. n.k.
(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.
Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.
Naomba kuwasiliana.
Hyo si askofu ni fisadi hana jipyaVipi akina Askofu Mwingira walionusurika kufa mara tatu?