AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,432
- 1,406
Ni kweli kuna location ngumu,route zipi huendi na unazoendaWatu hawajazingatia swali wamekimbilia ushauri...pesa itarudi baada ya muda gani...
Mkuu sinajibu Ila inategemeana na kazi utakazopata au ulizonazo...na mzunguko wake...
Mi Nini gari lakini Kuna route na Aina ya mizigo naikataa kutunza body na Hali ya GARI...Barabara...halafu I'll swala umelitolea wapi kurudisha hela zako...swali la kisukuma kabisa...Hari sio ngombe atazaa baada ya miaka miwili au so on