Nataka kumiliki Scania R450. Je, pesa itarudi baada ya muda gani?

Ni kweli kuna location ngumu,route zipi huendi na unazoenda
 
Hivi mkuu hii red Dot maana yake nini?
 
Chukua faw 360h
Chukua faw 360 ya mtumba ni imara napia kwahizo shughuli zako ni affordable haya matengenezo ni rahisi pia zingatia service lakini
 
Gari ni Scania 124 horse power 420 hii mashine ni ngumu sana na haina umeme ikiwa G ni kwamba tairi zote za nyuma zinavuta na inakua na spring tofauti na kavu au L kama hizi kwenye picha hapa SA.
 
Uzi una nondo sana, hongereni wachangiaji wote mliochangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…