Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Habari wakuu,

Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa.

Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua; nilipo pishana naye tu barabarani, ilikuwa kidogo tu nigongwe na bajaji.

Kupitia huu uzi, anatakiwa ajitambue yeye tayari ni mke mtarajiwa wa equation x, na ajiandae kwa mipangilio ya familia ya kuwa na watoto wengi hapo baadaye.

Najua atapitia huu uzi, jina lake linaishia na h.

Wakuu nipeni baraka zenu.​
Huo ni ubogazi. Fumba macho tuombe
 
Me wengi sana humu wamejiita majina ya kike, wanachati kikike kike na wameweka picha nzuri za kuvutia kwenye profile pictures zao.

ONYO:

*Ukikutana na Me akakugeuzia kibao usitulaumu hatukukwambia.

*Shemele nao wapo.

*Mashoga.

USHAURI:

Fikiri kabla ya kutenda.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kukutana nao hawa inabidi uwe na silaha. Wakianza ushetani wao tu! Unamuwasha!
 
Back
Top Bottom