Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Ukabarikiwe kwenye hilo jambo lako la kumtafuta mwenzako ili umshawishi mfunge nae pingu za maisha,,,kila la kheriii kwako!!
Asante mkuu, alishashawishika tayari kwa sasa tupo kwenye mipango ya harusi
 
Asante mkuu, alishashawishika tayari kwa sasa tupo kwenye mipango ya harusi
Cool!!Mungu aendelee kuwajalia Afya ya Mifupa,,,Damu na Nyama mfanikishe mipango iliyo Mema mbele ya Mungu na mbele ya walio wengi katika jamii pia!!
 
Back
Top Bottom