Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

Wakuu ninataka mwezi huu nipate kausafiri.. sasa nimeingia beforwad naona gari nzuri tu ila hata hii website ya kupatana naona Alteza afu bei nyepesi nyepesi. msaada wenu jamani

Nunua kupatana usihofu ila kuwa makini kizuri kinajulikana usisahau kupitia Tra kuangalia deni mm nilinunua gari kupatana na mpaka leo iko poa tu kabisa ila kwann usichukue Carina T.I au S.I ni roho ya paka mkuu na ulaji wa wese ni poa.
 
Ila wengi wanazikimbia siku hizi sijui tatizo nini
Nadhani wese, linakunywa sana wese hilo gari, hasa kwa matumizi ya mjini.

Mkuu hebu nishauri, unazionaje voltz?
Na je kwenye pickup Nissan hardbody na Hilux (say model za 2005) zipi imara zaidi? zipi economy kwenye matumizi ya mafuta?
Natanguliza shukrani
 
Volts zina shida ya body ni nyanya sana kwenye pickup achana kabisa na Nissan hardbody
 
Nunua Raum...cc 1490 consumption ya mafuta ni kama carina Ti
 
Raum top kutoka JP inaweza fika ngapi
Ingia Beforwad unacalculatiwa mpk ikifika dar...cif yake na kisha chagua gari kama ni Raum na manufacturing/registration year ya hiyo gari..kisha nenda kwenye website ya (T wara wei)TRA kuna import tax calculator ingiza hizo info za gari lako utapata bei nzima( kwa mfano kama Raum ya mwaka 2002/3 na bei ni CIF 4.5m kodi yake yote inaweza fika 3.9ml..jumlisha utapata karibia 8.4ml
 
Volts zina shida ya body ni nyanya sana kwenye pickup achana kabisa na Nissan hardbody
Shukrani mkuu, ila ningependelea unipe na sababu, za kwanini unasema niachane na pick up, ili niweze kuelewa vizuri mkuu.

Natanguliza tena shukrani, kwa elimu hii ya bure ambayo siilipii kitu.
Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom