Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

We mzushi acha utani...nataka kujua na kama inawezekana nitagundua vp gari mileage imerudishwa nyuma
 
Chukua Honda crv... Ni MASHINE nzuri mno na chenji inabaki.
Mkuu una experience na Honda HRV?
Vipi stability yake safari ndefu na unywaji wa mafuta, ukilinganisha na Subaru forester ipo bora?
 
Naomb kujua hivi inawezekana kurudisha odometer nyuma ili gari ionekane haijatumika sana?
 
Kwa 9 unapata mkononi.. kama alivosema mshana jr hapo juu siku hizi watu wanazikimbia labda ni ulaji wa mafuta ila kama hutojali mafuta basi we chukua.. kama hupo Dsm na utakuwa unatumia gari kila siku nakushauri chukua IST
Ofcorse mafuta...hazina tofauti na brevis &verrosa
 
Mkuu una experience na Honda HRV?
Vipi stability yake safari ndefu na unywaji wa mafuta, ukilinganisha na Subaru forester ipo bora?
Mhh Honda HRV sina uzoefu nayo ila CRV nina uzoefu nayo ni gari nzuri ... Durable na haili sana mafuta....
 
Kama unatafuta gari ambayo , haili sana mafuta, ina Mwendo , Na ipo stable barabarani hata ukiwa speed 170km/h .
Basi tafuta TOYOTA CAMRY SV 40.
Hii ktk safar ndefu utaipenda , HAPA MJINI WANAZIITA "aliendesha babu hata mjukuu analitumia"
Engine yake Ni 3s/4s , body nzito , Spea cheap ...
Mimi ninayo 1 manual transmission , sasa ina miaka 11, lakini Kama imenunuliwa Jana . Na siiuzi kamwe
 
Wazoefu wa magari naomba kuuliza gari ambayo inafaa kwa safari za vijijini ambapo hakuna lami.vip kati ya suzuki escudo na RAVA 4 ?
 
Kama unatafuta gari ambayo , haili sana mafuta, ina Mwendo , Na ipo stable barabarani hata ukiwa speed 170km/h .
Basi tafuta TOYOTA CAMRY SV 40.
Hii ktk safar ndefu utaipenda , HAPA MJINI WANAZIITA "aliendesha babu hata mjukuu analitumia"
Engine yake Ni 3s/4s , body nzito , Spea cheap ...
Mimi ninayo 1 manual transmission , sasa ina miaka 11, lakini Kama imenunuliwa Jana . Na siiuzi kamwe
thanks, nilikuwa natafuta camry
 
Nunua NISSAN MURANO....
Ipo pouwa na umbile flan hivi amizing....
 
Back
Top Bottom