Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,297
- 758
Wakuu hivi kunatatizo la kiufundi au kiusalama ya kutumia Carina kwa safari ndefu mfano mtwara-arusha?niliplan kununua rav4 ila bajet imegoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carina ni Gari nzur ingawa sijawah end nayo safari ya zaid ya km300 bt kwa experience haitokuangusha hata kidogo.Wakuu hivi kunatatizo la kiufundi au kiusalama ya kutumia Carina kwa safari ndefu mfano mtwara-arusha?niliplan kununua rav4 ila bajet imegoma
Chukua mnyama roho ya paka hiyowadau vp kuhusu cresta gx100?
ndio gari nnayo ipigia hesabu ingawa nimetishwa na watu kuhusu mafutaChukua mnyama roho ya paka hiyo
Hapana huendeshi Bajaj unaendesha gari wazee wa Passo wasikutishe GX100 iko poa ratio yake ya mafuta ni 8-10km per litrendio gari nnayo ipigia hesabu ingawa nimetishwa na watu kuhusu mafuta
asante sana kwa ushauri mkuu. nalichukua hili dude maana uwa nalipenda sanaHapana huendeshi Bajaj unaendesha gari wazee wa Passo wasikutishe GX100 iko poa ratio yake ya mafuta ni 8-10km per litre
Sorry naomba kaulizia kuhusu carina Ti kwa ajili ya tax naomba kujuzwa zaidi kuhusu haya magari uzuri wake na Ubaya wake au sifa zake kwa anakufahamu Vizur ahsanteWatu wengi walinunua Altezza kichwa kichwa bila kujua kwamba zimetofautiana engine size. Mtu anataka tu altezza bila kujua Altezza zina engine aina tatu tofauti. Ukiona wengi wanazikimbia jua kanunua yenye engine kubwa
Ti ni nzuri sana kwa kufanya biashara ya taxiSorry naomba kaulizia kuhusu carina Ti kwa ajili ya tax naomba kujuzwa zaidi kuhusu haya magari uzuri wake na Ubaya wake au sifa zake kwa anakufahamu Vizur ahsante
Carina ni nzuri mkuu, kama ni ya tax tafuta ile yenye cc 1490 itakusaidia sana kwenye fuel consumption maana ile ya cc 1760 au ile ya cc 1990 engine zake ni kubwa kwa hiyo mafuta inatumia zaidSorry naomba kaulizia kuhusu carina Ti kwa ajili ya tax naomba kujuzwa zaidi kuhusu haya magari uzuri wake na Ubaya wake au sifa zake kwa anakufahamu Vizur ahsante
Nashukuru ila kwa sifa ya ziada kuhusu ti carina pia unaweza nifahamisha na ni kwa mkoaniTi ni nzuri sana kwa kufanya biashara ya taxi
Ahsante kwa ushari brotherCarina ni nzuri mkuu, kama ni ya tax tafuta ile yenye cc 1490 itakusaidia sana kwenye fuel consumption maana ile ya cc 1760 au ile ya cc 1990 engine zake ni kubwa kwa hiyo mafuta inatumia zaid
hahahahahahahah, eeh bhana umetishaa mkuu! Ntumie picha za Befoward new modelbe forward ni gari zuri haili mafuta sana kama alteza!!
Ni ngumu na fuel consumption ni nzuri ila haifai masafa kwakuwa haina mwendoNashukuru ila kwa sifa ya ziada kuhusu ti carina pia unaweza nifahamisha na ni kwa mkoani
Alteza is good 4u.carina hapana, nilitaka nichukue verosa lkn nkapenda alteza koz gari iko simple sio luxurie sana mkuu; but thanks
Kaka kopo la castle hilo, achana nalo, full mayai, haina tifauti na baloon, likichoka utauza bei ya mchichaWakuru mi nalipenda sana verosa.. nataka kulichukuwa next month.. ushauri wenu wakuru wajuzi ... model gani ni sawa sawa mfano consuption.
Chukua Honda crv... Ni MASHINE nzuri mno na chenji inabaki.Nina bajet 11m au kuna aina nyingine naweza pata kwa hii bajet