NoticedWatu wengi walinunua Altezza kichwa kichwa bila kujua kwamba zimetofautiana engine size. Mtu anataka tu altezza bila kujua Altezza zina engine aina tatu tofauti. Ukiona wengi wanazikimbia jua kanunua yenye engine kubwa
Kweli mkuu Mshana Jr wese linashuka na inawezekana likashuka zaidi. Tulipigwa sana za mbavu.Limeshuka bei
Haaaaah mkuu be forward ni gari la wapibe forward ni gari zuri haili mafuta sana kama alteza!!
be forward ni gari zuri haili mafuta sana kama alteza!!
Wakuu ninataka mwezi huu nipate kausafiri.. sasa nimeingia beforwad naona gari nzuri tu ila hata hii website ya kupatana naona Alteza afu bei nyepesi nyepesi. msaada wenu jamani
Nadhani wese, linakunywa sana wese hilo gari, hasa kwa matumizi ya mjini.Ila wengi wanazikimbia siku hizi sijui tatizo nini
Kwann usitafute IST au Carina TI ......usinunue gari jina tu ...utakuja liona chungu ...settle down kabla ya kuamua...Wakuu ninataka mwezi huu nipate kausafiri.. sasa nimeingia beforwad naona gari nzuri tu ila hata hii website ya kupatana naona Alteza afu bei nyepesi nyepesi. msaada wenu jamani
Usijifanye unajua kila kitu zingine acha zipite Be forward ni company wewe unasema ni garibe forward ni gari zuri haili mafuta sana kama alteza!!
Volts zina shida ya body ni nyanya sana kwenye pickup achana kabisa na Nissan hardbodyNadhani wese, linakunywa sana wese hilo gari, hasa kwa matumizi ya mjini.
Mkuu hebu nishauri, unazionaje voltz?
Na je kwenye pickup Nissan hardbody na Hilux (say model za 2005) zipi imara zaidi? zipi economy kwenye matumizi ya mafuta?
Natanguliza shukrani
nina milioni 9 mzee; wi-fi hebu ni advice as your friend
Neno kuntuChukia BMW ni machine
Ingia Beforwad unacalculatiwa mpk ikifika dar...cif yake na kisha chagua gari kama ni Raum na manufacturing/registration year ya hiyo gari..kisha nenda kwenye website ya (T wara wei)TRA kuna import tax calculator ingiza hizo info za gari lako utapata bei nzima( kwa mfano kama Raum ya mwaka 2002/3 na bei ni CIF 4.5m kodi yake yote inaweza fika 3.9ml..jumlisha utapata karibia 8.4mlRaum top kutoka JP inaweza fika ngapi
Shukrani mkuu, ila ningependelea unipe na sababu, za kwanini unasema niachane na pick up, ili niweze kuelewa vizuri mkuu.Volts zina shida ya body ni nyanya sana kwenye pickup achana kabisa na Nissan hardbody