Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

Watu wengi walinunua Altezza kichwa kichwa bila kujua kwamba zimetofautiana engine size. Mtu anataka tu altezza bila kujua Altezza zina engine aina tatu tofauti. Ukiona wengi wanazikimbia jua kanunua yenye engine kubwa
Sorry naomba kaulizia kuhusu carina Ti kwa ajili ya tax naomba kujuzwa zaidi kuhusu haya magari uzuri wake na Ubaya wake au sifa zake kwa anakufahamu Vizur ahsante
 
Sorry naomba kaulizia kuhusu carina Ti kwa ajili ya tax naomba kujuzwa zaidi kuhusu haya magari uzuri wake na Ubaya wake au sifa zake kwa anakufahamu Vizur ahsante
Ti ni nzuri sana kwa kufanya biashara ya taxi
 
Sorry naomba kaulizia kuhusu carina Ti kwa ajili ya tax naomba kujuzwa zaidi kuhusu haya magari uzuri wake na Ubaya wake au sifa zake kwa anakufahamu Vizur ahsante
Carina ni nzuri mkuu, kama ni ya tax tafuta ile yenye cc 1490 itakusaidia sana kwenye fuel consumption maana ile ya cc 1760 au ile ya cc 1990 engine zake ni kubwa kwa hiyo mafuta inatumia zaid
 
Wakuru mi nalipenda sana verosa.. nataka kulichukuwa next month.. ushauri wenu wakuru wajuzi ... model gani ni sawa sawa mfano consuption.
 
Nashukuru ila kwa sifa ya ziada kuhusu ti carina pia unaweza nifahamisha na ni kwa mkoani
Ni ngumu na fuel consumption ni nzuri ila haifai masafa kwakuwa haina mwendo
 
Naomb kujua hivi inawezekana kurudisha odometer nyuma ili gari ionekane haijatumika sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…