Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
No, misongamano ya kiswahili ndio sipendiwe unataka maeneo ambayo utakaa peke yako
Kwenye watu ndio kuna miundombinu ya intanetiNo, misongamano ya kiswahili ndio sipendi
Basi nitaendelea kupanga tukwenye watu ndio kuna miundombinu ya intaneti
nenda Zingiziwa kule mbele, hakuna msongamano, kiwanja bei chee, ila no intanet
Nenda Goba, kuko poa, too modern!Wakuu nimejipanga n bajeti ya milioni 5 hadi 8 kwa ajili ya kununua kiwanja, maeneo ya DSM au Pwani kulingana na upatikanaji utakavyokuwa, bahati nzuri mimi nafanyia kazi nyumbani so hata eneo likiwa nje ya mji halitaniletea shida endapo litakuwa na intaneti
Baada ya kufanya uatafiti wangu nimeona maeno yenye viwanja vya angalau 20x20 mara mbili ni maeneo ya Kigamboni, ambapo unaweza kupata eneo la kujenga nyumba nzuri na uwanja ukbaki
Sasa kilichjonishangaza ni maeneo ya Chanik kuwa na viwanja na nyumba za bei chee sana tena maeneo yenye watu wengi tu, hi;li ni kwa nini?
Pia naomba kujua ni taratibu gani za kufuatwa ili kuepeukana na matapeli
Kaka karibu kigambon mwembe mdogo kiwanja mita 35*35 mil 5.5 na pia ukihiitaji heka unapata View attachment 1756925
Njoo nikuuzie chakwangu kipo Pugu Kajiungenibasi nitaendelea kupanga tu
Unapoenda kununua 20*20 tena kwa miguu na vijibarabara vya mita 5 ..mkuu nasikitika kukuambia hicho ndicho unachokitafuta eneo lenye msongamano.. na litakuja kusongamana nguvu zishaisha na huna tena uwezo wa kuanza moja mahali kwingine.No, misongamano ya kiswahili ndio sipendi
Kigamboni sehemu gani mkuu?Kaka karibu kigambon mwembe mdogo kiwanja mita 35*35 mil 5.5 na pia ukihiitaji heka unapata View attachment 1756925
Ndio mkuu, kiwanja cha sqm 400 kidogo sana, nipe connection na wauzaji wa huko kama unaoKwa hiyo bei yako nakushauri, tafuta kiwanja bunju mpaka mapinga, utapata kiwanja siyo chini ya sqm 800 kwa mapinga, hapo unaweza kuweka hata garden na mabanda ya mifugo, kiwanja cha sqm 400 ni kidogo sana, BRT Phase 4, inasogea mpaka Bunju, unaona joto la bandari ya bagmoyo linavyopanda...