Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #21
Ndio mkuu, nimesema 20 x 20 sina mpango nao, angalau iwe sqm 800. hao consultant kuwapata ndio sijui,ila kuna jamaa alishauri kabla ya kunuua niende kwanza klwenye ofisi za serikali ya mitaa ku confirm kuhusu hilo eneo, sijui kama hii inasaidia kiasi gani , maana hata hizi serikali huwa zinabadilikaUnapoenda kununua 20*20 tena kwa miguu na vijibarabara vya mita 5 ..mkuu nasikitika kukuambia hicho ndicho unachokitafuta eneo lenye msongamano.. na litakuja kusongamana nguvu zishaisha na huna tena uwezo wa kuanza moja mahali kwingine.
Ardhi ni utajiri/mali. Wekeza kwa akili. Tafuta washauri consultant session ya dk 25-45 ni elfu 30000 tu uliza maswali yote muhimu, na atakusaidia kufanya preliminary checks kuhakikisha hauingizwi mkenge kwa kuuziwa maeneo ya wazi au yenye matumizi mengine ya umma auaeneo yaliyovamiwa yenye upimaji.
Ukitaka kwenda site kufanya full analysis na kukushauri juu ya bei sahihi inayoendana na thamani.. inalipa kuanzia sh. 200,000/- site visits inclusive.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nikikosa maeneo yenyebhuduma na intaneti nzuri kwa baei ya milioni 10 itabidi ninunue tu vya huko porini kisha nianze kujenga mdogo mdogo hadi huduma muhimu zikifikia basi nihamie