Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

Wakuu nimejipanga na bajeti ya milioni 5 hadi 8 kwa ajili ya kununua kiwanja, maeneo ya DSM au Pwani kulingana na upatikanaji utakavyokuwa, bahati nzuri mimi nafanyia kazi nyumbani so hata eneo likiwa nje ya mji halitaniletea shida endapo litakuwa na intaneti

Baada ya kufanya uatafiti wangu nimeona maeno yenye viwanja vya angalau sqm 800 ni maeneo ya Kigamboni, ambapo unaweza kupata eneo la kujenga nyumba nzuri na uwanja ukbaki

Sasa kilichjonishangaza ni maeneo ya Chanika kuwa na viwanja na nyumba za bei chee sana tena maeneo yenye watu wengi tu, hi;li ni kwa nini?

Pia naomba kujua ni taratibu gani za kufuatwa ili kuepeukana na matapeli
Njoo ununue Dodoma pagale ninalo Nzuguni namba yangu ni 0767358936.Jina ndo hilo juu.
 
aisee chanika na Chamazi kuna viwanja na nyumba za bei rahisi sana hadi kunanipa wasiwasi, yaani nyumba imekamilika kabisa inauzwa milioni 20, nataka kujua kwa nini ni bei rahisi kuliko kwingine kabla sijanunua
Hizo nyumba za Chamazi na Chanika usiziguse kabisa, hizo ukuta biscuit,kenchi rangi,plasta mpaka vyoo wanaweka futi tano au pipa kabisa.
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Uko vingi vimepimwa, utauziwa kiwanja cha mtu
 
Back
Top Bottom