Nataka kununua mabasi ya kusafirisha abiria mkoa mmoja hadi mwingine

Nataka kununua mabasi ya kusafirisha abiria mkoa mmoja hadi mwingine

Palipo na nia pana njia

Ni ndoto yangu ya muda mrefu ya kua na kampuni kubwa ya mabasi ya usafirishaji abiria.

Hivyo basi pamoja na maombi yenu ninaomba pia tusaidiane kushirikishana je ni ruti ipi ambayo ina uhitaji mkubwa wa mabasi au ruti ipi ambayo nitapiga hela kisawasawa.

Baada ya mapendekezo nitakuja kuleta mrejesho na kampuni yangu mtaijua.

Hilo la kwanza, jambo la pili, kwa sasa kampuni ipi nzuri ya kuagiza ama kununua mabasi (luxury), je YUTONG, au ZHONGTONG, pia naomba unapotaja ruti ya basi, pia pendekeza njia hio je YTONG itaweza au zingine, pia na bei zake. Na ni namna gani ya kuagiza.

Shukrani.
Chukua Higer
 
Kama hujamaliza kuzaa watoto usijiingize kwenye hiyo biashara.

2. Pia kama una pressure jiepushe na hiyo biashara

3. Usipeleke hati ya nyumba zako bank ukachukua mabasi ya biashara

4. Kama huna biashara zingine za kukuingizia kipato usijiingize kwenye hiyo biashara tena kwa kukopa

5. Bima kubwa ni muhimu kwa mabasi unayotarajia kununua

6. Wapigadebe ni adui namba moja wa hiyo biashara, waepuke

7. Epuka ushabiki wa kununua mabasi bila kufanya utafiti wa kutosha

8. Mchina bidhaa zake mungu anajua, kimbilia scania mpya

9. TRA , sumatra, trafic, wapigadebe, agents, ni adui zako kuanzia siku ya kwanza kununua mabasi

10. Epuka kununua mabasi yaliyotukika nunua mabasi mapya, gari iliyotumika ni mke au muke wa mtu.

11. Usisikilize wapiga debe ukaamua kununua mabasi, fanya utafiti wako mwenyewe
Dah kumbe safari itakua nzito, nashukuru lakini kwa ushauri nimenote kila kitu ila naamin biashara yoyote haikosi changamoto, japo hii ya mabasi ukisikia changamoto zake unaweza kuacha siku hio hio
 
Chukua higer ndo gari zilizopo sokon zinanzia mil 300, root anzisha dodom to songea kuna kipind kulikuwa hakuna hii ruti lkn pia ksakazin anzisha mosh to mpwapwa/kongwa/ ushindan sio mkubwa na pia ni lam tupu, kuhusu uagizaj kuna jamaa namjua huwa anafanya hiyo mishe ya kununua gar na anazileta tz

So kwa kifup biashara ya mabasi usitegemee basi moja, kukuletea mengine, angalau uwe na hata matatu ya kuanzia, kuna mtu alianza na tata moja toka tanga to dar, lilipoanza kusumbua alipaki ikawa hasara mwingine pia alikuwa njombe alikuwa na basi kubwa mbili za dar zinapishana njian, badae moja iliharibika ikawa inapiga moja, abiria walikuja kupukutika kama majan,


So jipange kuanzia tatu angalau bila pressure kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ..mengine pm naomba tuongee.
 
Hongera sana kwa uthubutu . Kwa moyo mkunjufu kabisa bila ya hila yoyote moyoni kwangu nikutakie mafanikio mema kwenye huu uwekezaji naamini utatengeneza ajira nyingi kwa sisi vijana wenzio.
😀😀😀😀😀
 
+86 185 3830 1677 Yutong, ingia whatsap wasiliana nao kama uko tayari ila zingayia vigezo na masharti.

Hati za nyumba na mikopo ya bank epuka ili kununua mabasi na hakikisha ulisha kuwa na familia .
 
Mkuu, watakusapoti tu ukisema una SHIDA, MATESO, TAABU ..mana wanaona wewe ni mwenzao hivyo wanahitaji wa kufanana nao katika SHIDA, MATESO na TAABU.
Hata tendo la ndoa kwa wenye mabasi ni changamoto.

Rejesho la bank kwa mwezi ni 400 m utatoa wapi hamu ya tendo la ndoa?

Mwisho mkeo ni wa wengine
 
Mkuu, watakusapoti tu ukisema una SHIDA, MATESO, TAABU ..mana wanaona wewe ni mwenzao hivyo wanahitaji wa kufanana nao katika SHIDA, MATESO na TAABU.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] mkuuu anza hata na icha maana ni maono yako yasimamie vilivyo. Fanya market research ujue mikoa/ruti zipi zinalipa na zina uzinzani mdogo take into account njia/ruti, idadi ya wasafiri, wapinzani wapoje?, unaweza kuwa-outcome?

And all other variables
 
Abood , shabiby , BM , zingine zipo ila madeni ya bank kibao.
Kama wameweza basi ni biashara inayoweza kufanyika ukiwa na mikakati isiyo na pupa, faida ipo sana ndio mana tunaona hata maendeleo kiuchumi kwao na familia zao, mengine ni changamoto ambazo hapana budi kuendelea kuzicover panapo nafasi
 
Back
Top Bottom