Nataka kununua mabasi ya kusafirisha abiria mkoa mmoja hadi mwingine

Chukua Higer
 
Dah kumbe safari itakua nzito, nashukuru lakini kwa ushauri nimenote kila kitu ila naamin biashara yoyote haikosi changamoto, japo hii ya mabasi ukisikia changamoto zake unaweza kuacha siku hio hio
 
Asante mkuu, ..mengine pm naomba tuongee.
 
Hongera sana kwa uthubutu . Kwa moyo mkunjufu kabisa bila ya hila yoyote moyoni kwangu nikutakie mafanikio mema kwenye huu uwekezaji naamini utatengeneza ajira nyingi kwa sisi vijana wenzio.
😀😀😀😀😀
 
+86 185 3830 1677 Yutong, ingia whatsap wasiliana nao kama uko tayari ila zingayia vigezo na masharti.

Hati za nyumba na mikopo ya bank epuka ili kununua mabasi na hakikisha ulisha kuwa na familia .
 
Mkuu, watakusapoti tu ukisema una SHIDA, MATESO, TAABU ..mana wanaona wewe ni mwenzao hivyo wanahitaji wa kufanana nao katika SHIDA, MATESO na TAABU.
Hata tendo la ndoa kwa wenye mabasi ni changamoto.

Rejesho la bank kwa mwezi ni 400 m utatoa wapi hamu ya tendo la ndoa?

Mwisho mkeo ni wa wengine
 
Mkuu, watakusapoti tu ukisema una SHIDA, MATESO, TAABU ..mana wanaona wewe ni mwenzao hivyo wanahitaji wa kufanana nao katika SHIDA, MATESO na TAABU.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] mkuuu anza hata na icha maana ni maono yako yasimamie vilivyo. Fanya market research ujue mikoa/ruti zipi zinalipa na zina uzinzani mdogo take into account njia/ruti, idadi ya wasafiri, wapinzani wapoje?, unaweza kuwa-outcome?

And all other variables
 
Abood , shabiby , BM , zingine zipo ila madeni ya bank kibao.
Kama wameweza basi ni biashara inayoweza kufanyika ukiwa na mikakati isiyo na pupa, faida ipo sana ndio mana tunaona hata maendeleo kiuchumi kwao na familia zao, mengine ni changamoto ambazo hapana budi kuendelea kuzicover panapo nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…