Nataka kununua mabasi ya kusafirisha abiria mkoa mmoja hadi mwingine

Hapo nimeelezea sababu zaidi ya moja na kunukuu baadhi ya wamiliki wanayosema sasa kama na ww n dereva sema
 
Hyo namba 4 naikataa,,fatilia imekuwaje BM akateka soko la kaskazini alaf uje hapa uongee

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ww umeielewa vibaya hiyo point halafu un mfano mmoja tu hebu jaribu kupanda gari zifuatazo Nyehunge ABC Kimbinyiko na Shabiby halafu niambie kwenye swala la kutii sheria na kwenda na muda lipoje
 
Humu inabidi kubehave, kumbe tupo na kina bakhresa halafu tunaandika ujinga ujinga
 
Ww umeielewa vibaya hiyo point halafu un mfano mmoja tu hebu jaribu kupanda gari zifuatazo Nyehunge ABC Kimbinyiko na Shabiby halafu niambie kwenye swala la kutii sheria na kwenda na muda lipoje
Wewe ndo hujanielewa mkuu,,muangalie sauli,new force,asante rabi,bm,dar fire,kidia,wote wao wana gar zao za masaa,yaan wao wanatembea hata 100-120kph ili gar ikae mbele mkuu,,hizo sheria zako unazotaka zifuatwe hakuna kitu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…