Ukitaka kupiga hesabu rahisi, chukua hyo 1000 kanunue box la viberiti uza kila siku box moja kwa muda sawa na ambao sawa na kuweka stock mchele.......Aisee ...wewe itakuwa umezoea biashara ya kubet,bangi au Unga....yaani Hapo huoni ni faida!????
Uone hyo elfu moja itakuwa imekuingizia sh ngapi ndani ya huo muda then ulinganishe na biashara ya kuweka stock uone km INA tija!
Sent using Jamii Forums mobile app