Nataka kununua pikipiki Honda Ace 125 Individual. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya kwa level yake na bajeti?

Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.

Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.

Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.

Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
ni piki piki nzur sana huwez jutia ukifanya service vzr utanunua cratch tu na spoket na brake shoe basi tofauti na apo ni kuwasha na kuondoka, japo iyo bei ni rahisi sana so kua makini, ukienda showroom ya honda wanauza 5M+

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Naungana na ww,kitu cha kubadilisha hapo ni clutch plate,brake shoes,rings na valve.Tena anaweza kubadilisha mara moja baada ya miaka 8.Siku hizi spare zake zinapatikana sana hasa miji mikibwa lama dar na moro tena bei rahisi tu.Ila kunq wajinga wakizilet wilayani wanauza bei mara mbili spare
 
Yamaha Ybr 125

Back
Top Bottom