No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Sifaham mkuu...Naweza nikapata wapi tvs used mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifaham mkuu...Naweza nikapata wapi tvs used mkuu?
ni piki piki nzur sana huwez jutia ukifanya service vzr utanunua cratch tu na spoket na brake shoe basi tofauti na apo ni kuwasha na kuondoka, japo iyo bei ni rahisi sana so kua makini, ukienda showroom ya honda wanauza 5M+Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Naungana na ww,kitu cha kubadilisha hapo ni clutch plate,brake shoes,rings na valve.Tena anaweza kubadilisha mara moja baada ya miaka 8.Siku hizi spare zake zinapatikana sana hasa miji mikibwa lama dar na moro tena bei rahisi tu.Ila kunq wajinga wakizilet wilayani wanauza bei mara mbili spareni piki piki nzur sana huwez jutia ukifanya service vzr utanunua cratch tu na spoket na brake shoe basi tofauti na apo ni kuwasha na kuondoka, japo iyo bei ni rahisi sana so kua makini, ukienda showroom ya honda wanauza 5M+
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Bike Kali Sana hii
Mbona zpo nying sana , au upo nje ya DARNaweza nikapata wapi tvs used mkuu?