Nataka kuoa albino

Umedhamiria icho unachosema ,au ni maelekezo Toka kilingeni?
 
Nilishawahi kua na mahusiano na na pisi albino. Ni binadamu tu kama binadamu wengine hasa ktk yale mambo yetu. Na wakipenda hua wanapenda kweli. All the best!

Nilishawahi kua na mahusiano na na pisi albino. Ni binadamu tu kama binadamu wengine hasa ktk yale mambo yetu. Na wakipenda hua wanapenda kweli. All the best!
Asee sio wasaliti kama Hawa wengine?
 
Shukran Mkuu kama huon hapa umeandikaje
 
Enjoy her challenges and risks
 
Mkuu umeandika kuwa hauoni, je umewezaje kusoma na kuandika hapa JF, tafadhali naomba unipe elimu ama ujuzi huu
ndugu nakuwshukuru kwa swali lako zuri. ni kweli kabisa mimi ni mtu asiyeona. ni kwamba siweszi kuyaona maandiwshi katika mtandao huu bali ninatumia simu au computer yenye kisoma skrini yaani screen reader kusoma yaliyoandikwa katika kioo au display ya simu yangu au komputa yangu.
kwa kukupa maelezo zaidi ni kwamba, kisomaskrini ni aina ya programu tumizi ambazo hutumia sautii kumuwezesha mtu asiyeoona au kjua kusoma na kuandika aweze kutumia simu. mfano kama unatumia simu ndani ya simu yako kuna talkbacgk. hii ni kwa watumiaji wa sium za android. iphones ni voice over. winhdows computers inatumia narretor. kuiwasha kwenye computer yako press windows key pamoja na u.
karibbu kwa maswali zaidi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…