Mimi nikutakie heri ndugu yangu. lakini, kwa ninavyofahamu jamii zetu hapa tanzania bado kuna changamoto kubwa ya kuelewa namna gani ya kuishi na watu wenye ulemavu katika mahusiano.
bado elimu ni ndogo juu ya hali mbalimbali sza ulemavu. mimi binafsi ni mtu asiyeona. kwa hiyo, .ninakupa uzoefu binafsi nioliyo nao. hivyo ni muhimu ukafahamu huyo mwenza unaetaka kuwa naye namna ya kuishi na changamoto zake za ulemavu na namna bora ya kuishi nazo,.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app