Nataka kuoa albino

Kanda ya ziwa huwa wamejaa sana sijui wanapapenda sana kule
Albnism ni genetics mkuu. Ni mambo ya kibiologia kama wazazi mna/ana genes hizo mtamzaa tu.
Makabila mengine zamani ilikuwa wakizaa albino wanamuangamiza kabla hajajulikana na watu baadae wanatoka na majibu "flani alijifungua mtoto ikawa bahati mbaya" na makabila jamii ya kifugaji kama mang'ati, maasai na hata wailaq huwezi kumkuta albino kabisa kwani wao huchukulia kama mkosi na mama ikitokea kajifungua kwanza watamkimbia huyo kichanga na kuhama kabisa eneo husika na kuna uwezekano mwanamke kuachika kwa mume.

Kanda ya ziwa mambo ya kunyanyapaa kiumbe wa Mungu haipo hata aje na maajabu gani.
 
Mkuu DALALI MKUU kuna binti mmoja mrembo na anajipenda kaenea kila idara. Kama upo serious naweza kuku connect nae isipokuwa asipatwe na majanga ya kutilia shaka juu ya uhai wake usije ukansababishia matatizo nikaingia hatiani.
 
Huna lolote ww masharti ya mganga hayo
 
Huoni Mkuu?
 
Unataka ukamdalalie mtoto wa watu ety eeh.
 
Pole sana mkuu...daaa
 
Vipi mahusiano yako na jamii? Unajumuika na watu au mda mwingi upo pekeyako? Umeoa au una mpenzi?
 
Pole sana mkuu...daaa
Naomba nikujibu kwenye eneo hili kwa kusema kwamba unaweza kunipa pole ni mojawapo ya ishara za upendo lakini kwa upande wangu imechezwa ahali yangu na najisikia furaha amani na ninaishi maisha ya kawaida kama watu wengine na aminatha tumikia taifa la tanzania kama wanavyofanya watu wengine isipokuwa itahitaji msaada kiasi fulani ili litekeleze majukumu yangu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Vipi mahusiano yako na jamii? Unajumuika na watu au mda mwingi upo pekeyako? Umeoa au una mpenzi?
Nina watoto wawili lakini kwa sasa nipo kwenye mahusiano mapya ambayo bado ni machanga kwa hiyo siwezi sema mengi juu ya hilo hivyo kifupi ni kwamba nina mahusiano na linashiriki kwenye mambo mengi tu ya kijamii mahali ninapoishi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…