mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Ndiyo mkuu. HaujakoseaSorry,Kwahiyo mkuu wewe ni kipofu?2[emoji848]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mkuu. HaujakoseaSorry,Kwahiyo mkuu wewe ni kipofu?2[emoji848]
Albnism ni genetics mkuu. Ni mambo ya kibiologia kama wazazi mna/ana genes hizo mtamzaa tu.Kanda ya ziwa huwa wamejaa sana sijui wanapapenda sana kule
Huyu [emoji7][emoji8]Mkuu Dalali mfate huyo hapo ni Pisi kali ya Nigeria safari njema mkuu View attachment 2530659
Huoni Mkuu?Mimi nikutakie heri ndugu yangu. lakini, kwa ninavyofahamu jamii zetu hapa tanzania bado kuna changamoto kubwa ya kuelewa namna gani ya kuishi na watu wenye ulemavu katika mahusiano.
bado elimu ni ndogo juu ya hali mbalimbali sza ulemavu. mimi binafsi ni mtu asiyeona. kwa hiyo, .ninakupa uzoefu binafsi nioliyo nao. hivyo ni muhimu ukafahamu huyo mwenza unaetaka kuwa naye namna ya kuishi na changamoto zake za ulemavu na namna bora ya kuishi nazo,.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unataka ukamdalalie mtoto wa watu ety eeh.Weekend smart Wana JF
Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani.
Kweli niliwahi kwenda kahama ila sikuambilia pia
Leo hapa JF naomba kutangaza Rasmi Mimi DALALI MKUU nahitaji kuoa albino na kama nitakosa nitajiunga na wale wa kataa ndoa
Unaweza kushare nami kama ulishawahi kuwa nao kwenye mahusiano wakoje...
DALALI Mkuu Kinondoni Dar es Salaam Kwa Sasa safarini kilindi Tanga
Pole sana mkuu...daaandugu nakuwshukuru kwa swali lako zuri. ni kweli kabisa mimi ni mtu asiyeona. ni kwamba siweszi kuyaona maandiwshi katika mtandao huu bali ninatumia simu au computer yenye kisoma skrini yaani screen reader kusoma yaliyoandikwa katika kioo au display ya simu yangu au komputa yangu.
kwa kukupa maelezo zaidi ni kwamba, kisomaskrini ni aina ya programu tumizi ambazo hutumia sautii kumuwezesha mtu asiyeoona au kjua kusoma na kuandika aweze kutumia simu. mfano kama unatumia simu ndani ya simu yako kuna talkbacgk. hii ni kwa watumiaji wa sium za android. iphones ni voice over. winhdows computers inatumia narretor. kuiwasha kwenye computer yako press windows key pamoja na u.
karibbu kwa maswali zaidi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeah pisi ilinipenda na ilikua inajua kudekadeka.. Nilivimba nayo sana!Ulikuwa unajifili mwenyewe kama unamiliki mzunguuu
Duh.. sio poa aisee .Umasaini ndio kabisaa. Ndio maana hukuti albino au mlemavu yeyote wa viungo huko
Vipi mahusiano yako na jamii? Unajumuika na watu au mda mwingi upo pekeyako? Umeoa au una mpenzi?ndugu nakuwshukuru kwa swali lako zuri. ni kweli kabisa mimi ni mtu asiyeona. ni kwamba siweszi kuyaona maandiwshi katika mtandao huu bali ninatumia simu au computer yenye kisoma skrini yaani screen reader kusoma yaliyoandikwa katika kioo au display ya simu yangu au komputa yangu.
kwa kukupa maelezo zaidi ni kwamba, kisomaskrini ni aina ya programu tumizi ambazo hutumia sautii kumuwezesha mtu asiyeoona au kjua kusoma na kuandika aweze kutumia simu. mfano kama unatumia simu ndani ya simu yako kuna talkbacgk. hii ni kwa watumiaji wa sium za android. iphones ni voice over. winhdows computers inatumia narretor. kuiwasha kwenye computer yako press windows key pamoja na u.
karibbu kwa maswali zaidi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hahahaha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]au basi
Ndiyo sioni. Naona hatimaye leo umekoment kwanguHuoni Mkuu?
Najumuika nao mkuu. Kwanza kwa nini nikae peke yanguVipi mahusiano yako na jamii? Unajumuika na watu au mda mwingi upo pekeyako? Umeoa au una mpenzi?
Nafurahi pia nimecomment kwako mkuu,na nitaendelea sikuzote
Naomba nikujibu kwenye eneo hili kwa kusema kwamba unaweza kunipa pole ni mojawapo ya ishara za upendo lakini kwa upande wangu imechezwa ahali yangu na najisikia furaha amani na ninaishi maisha ya kawaida kama watu wengine na aminatha tumikia taifa la tanzania kama wanavyofanya watu wengine isipokuwa itahitaji msaada kiasi fulani ili litekeleze majukumu yanguPole sana mkuu...daaa
Niko humu miaka 10 sasaNafurahi pia nimecomment kwako mkuu,na nitaendelea sikuzote
Nina watoto wawili lakini kwa sasa nipo kwenye mahusiano mapya ambayo bado ni machanga kwa hiyo siwezi sema mengi juu ya hilo hivyo kifupi ni kwamba nina mahusiano na linashiriki kwenye mambo mengi tu ya kijamii mahali ninapoishiVipi mahusiano yako na jamii? Unajumuika na watu au mda mwingi upo pekeyako? Umeoa au una mpenzi?