Nataka kuoa albino

Asante nimetambua vyema sasa
 
Tanzania ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na watu wengi wenye albinism na kanda ya ziwa ikiwa ndiyo kinara.

Ni ndugu zetu tuwapende na tujamiiane nao kikamilifu.
 
Unabiashara nao mbona wapo kibao tu
 
sio kweli juu ya habari hizi. binafsi ninawafahamu wengi tu ambao wemekwiwsha kufariki tayari. hizi ni baadhi ya imani potofu tu mkuu zilizojengeka toka zamani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wazee wa zamani wanaposha kuwa hawafi wamapotea, ili siku wakiwaua kutokana na ushirikina, watu wafikiri kapotea.
 
Yaan wewe unavyochukulia huyo albino ni kama mbuzi kwamba kwa bei yoyote ile nitanunua tu unadhani wao hawana choice? hata kama wangekuwa ni kabila flani au dini flani (nikimaanisha wingi) bado ingekuwa vigumu kumpata labda uishi mazingira yale lkn kwa kuambiwa tu nenda Arusha utampata mmasai, nenda kilimanjaro utampata mchaga.
 
Duuh watoto wako unawatambuaje?
Watoto wangu ninaweza kuwatambua kwa kuwasikia sauti au nikiwagusa pale wanapokuwa karibu na mimi. kwa kifupi ni kwamba acha nikufahamishe kuwa unapopoteza uwezo wa kuona unapata nguvu kubwa ya kutumia masikio na maeneo mengine yenye hisia kwenye mwili wako. hasa ngozi. hivyo kwa watu kama sisi masikio ni kifaa kikubwa ambacho kinatusaidia. kwa karibu kila kitu mimi nikikusikia wewe kama mara tano siwezi kukupotea sauti yako. kabisa nimekuwa nikifundisha zaidi ya wanafunzi elfu moja mpaka sasa na karibu wote ninakumbuka sauti zao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
sijakuelewa Mkuu unaongea kama umepaniki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…