To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😳Are you serious?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳Are you serious?
Asante nimetambua vyema sasaNaomba nikujibu kwenye eneo hili kwa kusema kwamba unaweza kunipa pole ni mojawapo ya ishara za upendo lakini kwa upande wangu imechezwa ahali yangu na najisikia furaha amani na ninaishi maisha ya kawaida kama watu wengine na aminatha tumikia taifa la tanzania kama wanavyofanya watu wengine isipokuwa itahitaji msaada kiasi fulani ili litekeleze majukumu yangu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Amekaa kiutamuutamu 😋Mkuu Dalali mfate huyo hapo ni Pisi kali ya Nigeria safari njema mkuu View attachment 2530659
Unabiashara nao mbona wapo kibao tuWeekend smart Wana JF
Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani.
Kweli niliwahi kwenda kahama ila sikuambilia pia
Leo hapa JF naomba kutangaza Rasmi Mimi DALALI MKUU nahitaji kuoa albino na kama nitakosa nitajiunga na wale wa kataa ndoa
Unaweza kushare nami kama ulishawahi kuwa nao kwenye mahusiano wakoje...
DALALI Mkuu Kinondoni Dar es Salaam Kwa Sasa safarini kilindi Tanga
Ndiyo na id ya kwanza niliitelekeza 2015[emoji15]Are you serious?
Mefurahi kukufahamu....may God bless you man
Wazee wa zamani wanaposha kuwa hawafi wamapotea, ili siku wakiwaua kutokana na ushirikina, watu wafikiri kapotea.sio kweli juu ya habari hizi. binafsi ninawafahamu wengi tu ambao wemekwiwsha kufariki tayari. hizi ni baadhi ya imani potofu tu mkuu zilizojengeka toka zamani.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
AminaMefurahi kukufahamu....may God bless you man
Duuh watoto wako unawatambuaje?Nina watoto wawili lakini kwa sasa nipo kwenye mahusiano mapya ambayo bado ni machanga kwa hiyo siwezi sema mengi juu ya hilo hivyo kifupi ni kwamba nina mahusiano na linashiriki kwenye mambo mengi tu ya kijamii mahali ninapoishi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Watoto wangu ninaweza kuwatambua kwa kuwasikia sauti au nikiwagusa pale wanapokuwa karibu na mimi. kwa kifupi ni kwamba acha nikufahamishe kuwa unapopoteza uwezo wa kuona unapata nguvu kubwa ya kutumia masikio na maeneo mengine yenye hisia kwenye mwili wako. hasa ngozi. hivyo kwa watu kama sisi masikio ni kifaa kikubwa ambacho kinatusaidia. kwa karibu kila kitu mimi nikikusikia wewe kama mara tano siwezi kukupotea sauti yako. kabisa nimekuwa nikifundisha zaidi ya wanafunzi elfu moja mpaka sasa na karibu wote ninakumbuka sauti zao.Duuh watoto wako unawatambuaje?
hivi mbona tuna imani za ajabu hivi?Unabiashara nao mbona wapo kibao tu
AiseeWewe ukikosa niambie kuna mmojaa nafanyanae kazi... utaenjoy sanaa....
HahaMtafute Haji Manara akuelekeze anakulaje pisi kali vile?
sijakuelewa Mkuu unaongea kama umepaniki sanaYaan wewe unavyochukulia huyo albino ni kama mbuzi kwamba kwa bei yoyote ile nitanunua tu unadhani wao hawana choice? hata kama wangekuwa ni kabila flani au dini flani (nikimaanisha wingi) bado ingekuwa vigumu kumpata labda uishi mazingira yale lkn kwa kuambiwa tu nenda Arusha utampata mmasai, nenda kilimanjaro utampata mchaga.
Tyache imani hizo, Ni watu ambao ninawapenda ila sina bahati ya kukutana naoUnataka ukamdalalie mtoto wa watu ety eeh.