Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

Unataka si tufanyeje pumbavu wewe.
Watu tunajaza treni ya tazara na kigoma watoto wa kike na wala hatuoni nongwa.
 
Oa wamachame 6 pamoja na warangi 6 halaf hapo ongeza na muha 1. Uatakuja kunipa majibu yake hapa mkuu
 
Ndugu zangu

Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu

Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa

*Muha-2
*Mhehe-2
*Mchaga wa kimachame -4
*Mchaga wa kirombo-2
*Mchaga wa kimarangu-2
*Mchaga wa kibosho-1
*Mmasai-2
*Msukuma-1
*Mpare-2
*Mrangi-6

Nataka kuoa ila kichagua mmoja na yupi wa kuweka ndani nitulie nimeshindwa kabisa. Naona nafsi yangu imefungwa kila nikitizama list yangu naona wanazidiana nabaki kuendelea kicheza nao tuu kwenye uzinzi

Nisaidieni nitoke huku ndugu zangu nioe walau nitulie hata kidogo.
Iko namna gani unajuwa, unaeza sema hujui uchague yupi uowe kumbe unazidi kuwa masikini maana Mana sio chini ya wanawake 26 unadate nao na wote omba omba. Hapo huezi piga hatua hata moja

Sasa na hapo ulipo Eka warangi 6 una maana gani ? umewadsrespect warangi inabidi uombe msamaha.... Maana mm Nina demu wa kirangi ambae kumuita demu ni makosa maana natakiwa nimuite waifu Nina miaka mitatu na nimesotea penzi lake, na ni miaka nne tangu anikubalie shuwaini ww... Na mm ni mchaga
 
Uongo tu wanawake wote hao uwapate wapi na unavyojua kulia njaa? wanawake Matunzo bwana
 
Back
Top Bottom