Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Mkuu usije ukamruhusu kwenda kusahihisha mitihani ya mock au necta (mwezi mmoja na wiki mbili)
Huo muda wote ni wa kuliwa na watasha huko.
(Nina jamaa ana mke mwalimu)
Anapitia kipindi kigumu sana.
 
Kumbe siku hizi kudumu ama kutodumu kwenye ndoa inategemea na profession ya mtu? sikujua hili nilidhani inategemea na mtu mwenyewe. [emoji30]
hii inatokana na mazingira ya kazi ya mtu mpenzi. kudeal na watoto wa watu au wagonjwa lazima kwanza uwe umejitoa kwenye nafsi, japo haimaanishi sekta nyingine hawadumu kwenye ndoa.
 
Mkuu usije ukamruhusu kwenda kusahihisha mitihani ya mock au necta (mwezi mmoja na wiki mbili)
Huo muda wote ni wa kuliwa na watasha huko.
(Nina jamaa ana mke mwalimu)
Anapitia kipindi kigumu sana.

Duuuh htr hii, so hata mahead masta watakuw wanakula basi
 
Walimu wa zamani sawa manake ulikuwa ni with. Ila hawa wa sasa ambao wameenda ualimu sababu NI failures thubutuu... Ndio mabingwa wa kudanga hata kwa wanafunzi wao wenye vijisenti.
Ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…