interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Kumbe siku hizi kudumu ama kutodumu kwenye ndoa inategemea na profession ya mtu? sikujua hili nilidhani inategemea na mtu mwenyewe. [emoji30]
Si unataka kufungua shule sio familia, oa tu
Ilikuwa zamani hiyo,kwa sasa ni bahati nasibu
Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..
Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??
Ebu niambie wanasheria wana shida gani?
Walimu wa zamani sawa manake ulikuwa ni with. Ila hawa wa sasa ambao wameenda ualimu sababu NI failures thubutuu... Ndio mabingwa wa kudanga hata kwa wanafunzi wao wenye vijisenti.
kuna akili halafu kuna busara ya kudeal na mtu huku ukiweka taaluma kando. wao kila mahali wanatakaga kuweka yale mambo yao.Hawa watu wana akili sana ila mpka uwaelewe lazima nawe uwe konkii kichwani...vinginevyo mtakutana mahakamani
Kwani urongo swahiba?Ha ha ha
Ha ha ha mi nataka hao hao mbona obama kaoa michele ..Utapata tabu usijarib asee
Ilikuwa zamani hiyo,kwa sasa ni bahati nasibu
Mambo gani jamani mbona kuna ndoa za wanasheria wengi tu.acheni uoga vijana pambaneni sheria zake kazini kwake kwako ni mke tu....wanaume tambueni mamlaka yenu..akileta fyokofuoko unatia kelebu moja matata anatuliakuna akili halafu kuna busara ya kudeal na mtu huku ukiweka taaluma kando. wao kila mahali wanatakaga kuweka yale mambo yao.
Hawa watu wana akili sana ila mpka uwaelewe lazima nawe uwe konkii kichwani...vinginevyo mtakutana mahakamani
Tatizo ulimwengu umekuwa wa kidigitali,kila mmoja anataka vitu vizuri;hakuna anayevumilia shida/njaa kwa sasaNa Wanawake walimu wenyewe wamekuwa na viburi sana kupitia udhaifu tunaohadithiana mitaani kuwa wana maadili bora kumbe looh!
walimu wana tabia ya kufokea fokea wanaume wao
kuna akili halafu kuna busara ya kudeal na mtu huku ukiweka taaluma kando. wao kila mahali wanatakaga kuweka yale mambo yao.
Hahahaa kwamba wadada hawatak maticha??
Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..
Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??
Ha ha ha mi nataka hao hao mbona obama kaoa michele ..
Professional zetu zinachangia in one way or another, tuia fikiria utapata jibu.Kumbe siku hizi kudumu ama kutodumu kwenye ndoa inategemea na profession ya mtu? sikujua hili nilidhani inategemea na mtu mwenyewe. [emoji30]