Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

Suala la ndoa linategemea sana utamaduni wa familia husika iwe kimila au kidini.

Ukishafahamu hayo ongea na wazee wa jamii ya hiyo familia unayotaka kwenda kuoa watakupa muongozo,pia muulize huyo binti atakupa info zaidi nini familia yake inahitaji ili kukamilisha suala la ndoa.

Kila jema.
 
Kwao songea ni familia isiyopenda makuu
 
I Inategemea na unaemuoa pia
Kiongozi, Mimi nilikuwa nawapinga Sana wazee wa KATAA NDOA

Nilikuwa hawana hoja isipokuwa ni porojo

Nikajitahidi kuchagua vigezo vyangu muhimu na nikasema nimelamba dume

Baada ya kuoa sasa, Ndio naona rangi halisi ya ndoa

Wanawake wengi huwa wanakuwa humble kukuvutia uwaoe tu, ukioa tu ndio utakuja kuona rangi zao halisi na hapo ndio utashangaa mbona mwanamke ana tabia nzuri, mzuri ila ndoa hazidumu

Watu wa kataa NDOA Wana hoja zao, WASIKILIZWE

Japo sikubaliani 💯% na kutooa ila ndoa Zina mikiki na changamoto nyingi kuliko raha

Natambua uwepo wa wanandoa wachache ambao wanaenjoy ndoa zao ila asilimia kubwa ni majuto tu

Cc dronedrake asikilizwe kwa kiasi chake,
 
Hilo sipingi kaka lakn huyu naetaka kuoa nishakaa nae miaka 3 na sina kitu lkn tunaishi na changamoto zipo nyingi tu kama jeur dharau na mambo mengne meng tu lkn nishamzoea tena hana kipya atafanya ntakua sjakiona kwake kwahyo nimeona bora huyu ninaemjua kuliko kutafuta gumegume lingine
 
Hapo sawa, 💯 💯
 
Kama kwao ni songea wewe upo wapi
 
Wengi hatuna elimu ya ndoa,wenye elimu hio utazama vingi sana ikiwemo nyota na upata wenza sahihi .
Kama hamuendani ni ngumu kudumu.
 
Ukisha oa ndio utajua kwamba

"Behind the beauty lies the true colors"
 
Suala la ndoa ni jepesi sana na pia usipoteze muda ,kama muhusika anakuelewa basi angalia jamii yake especially kabila lao ila yote unachonga na wazee wanafanya mambo.

Yaani ndo ni rahisi sana Kwa usawa huu hata kama Binti hakuelewi ukichonga na wazee fasta ushamaliza mambo.
 
Kwahyo lazma wawepo wawili mzee wauko na rafik wa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…