Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

Fuata taratibu zinazostahili bila Shaka utafanikisha ndoa mkuu.

Kila la heri zako.
 
Mdau anataka aelekezwe jinsi ya kuandika barua ya posa (Format)
Aongee na mimi vizuri niangalie wazee wengine wa busara twende tukafanye ugeni na tumalize jambo lake..😊
Barua hainaga maana skuizi..☺
 
Back
Top Bottom