Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

Ndoa uwasumbua Sana wanaume waungwana na wastaarabu wakiwemo wasomi na wanadini. Kiasili (instinct utashi wa ndani ) wanaawake uwapenda wanaume madikteta
 
Hana chakunudanganya kabla ya kuish nae hyo miaka 3 tulikua wapenz kwa mwaka mmoja na nusu kwahyo namjua in out
Sasa unataka kuingia gerezani kabisa ili akizidisha makeke yake mkataba wa ndoa una kufunga kutoka.

Utakuja tena hapa jukwaani kuomba ushauri wa kumpa talaka.
 
Ndoa uwasumbua Sana wanaume waungwana na wastaarabu wakiwemo wasomi na wanadini. Kiasili (instinct utashi wa ndani ) wanaawake uwapenda wanaume madikteta
Umenena kabsa mwanamke anapenda mwanaume mbabe mbabe ukiwa legelege atakuonea sana maana mm mwenyewe nishapitia changamoto hyo had nilipobadlisha mbinu na kuanza kutoa kichapo kitakatifu maana dharau zilizid, nakumbuka nilipga had majiran wakavunja mlango na yy akanikang'ata shngon nusu anitoe roho
 
Sasa unataka kuingia gerezani kabisa ili akizidisha makeke yake mkataba wa ndoa una kufunga kutoka.

Utakuja tena hapa jukwaani kuomba ushauri wa kumpa talaka.
Mbna nishamwambia nakuoa sababu nishakutumia sana tu ukiniletea za kuleta nakuacha mchana kweupe narud zangu kwamama angu sjaua kwetu
 
Kila la kheri mkuu…Tukutane Mwakani ukilalamika…
 
Hata wana ndoa walio ka miaka 20 likiamka hata siku moja kila kitu kina sambaratika "never ever trust a woman"
 
Malizia chuo kwanza achana na mambo ya kuendeshwa na hisia za kike, hapo ulipo unacho kosa kwake ni nini?
Anataka ahalalishe.

Awe anakaa na mwanamke kwa uhalali.

Hata likitokea tatizo ni rahisi kupata msaada maskani pande zote.

Pia wawe huru kufanya mapenzi bila kutumia condom (kuzuia mimba)
 
Wanaume wote inatakiwa wawe wakurya ndio heshima uwepo.
Maana huwezi Dili na watu wanaotumia hisia kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…