Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Jul 23, 2023 #41 Fuata taratibu zinazostahili bila Shaka utafanikisha ndoa mkuu. Kila la heri zako.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jul 23, 2023 #42 wadiz said: Napiga sana married women na mimba juu wamezaa watoto wangu kama , naendelea kuwala Kwa Kasi Click to expand... Sijakuelewa kabisa hata, ila ngoja niishie tu hapa
wadiz said: Napiga sana married women na mimba juu wamezaa watoto wangu kama , naendelea kuwala Kwa Kasi Click to expand... Sijakuelewa kabisa hata, ila ngoja niishie tu hapa
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,316 Reaction score 9,596 Jul 23, 2023 #43 Ushimen said: Sijakuelewa kabisa hata, ila ngoja niishie tu hapa Click to expand... Mdau anataka aelekezwe jinsi ya kuandika barua ya posa (Format)
Ushimen said: Sijakuelewa kabisa hata, ila ngoja niishie tu hapa Click to expand... Mdau anataka aelekezwe jinsi ya kuandika barua ya posa (Format)
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jul 23, 2023 #44 APEFACE said: Mdau anataka aelekezwe jinsi ya kuandika barua ya posa (Format) Click to expand... Aongee na mimi vizuri niangalie wazee wengine wa busara twende tukafanye ugeni na tumalize jambo lake..😊 Barua hainaga maana skuizi..☺
APEFACE said: Mdau anataka aelekezwe jinsi ya kuandika barua ya posa (Format) Click to expand... Aongee na mimi vizuri niangalie wazee wengine wa busara twende tukafanye ugeni na tumalize jambo lake..😊 Barua hainaga maana skuizi..☺