Nataka kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya nchi

Had kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo.

Mambo yanayonikosea furaha

1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa.

2. Wazazi wangu wote wamefariki ndugu nao kwangu hawana msaada kwangu.

3. Hata kwenye mapenzi napo bado naumizwa tu yaani mtu hanisikilizi wala hanijali

5. Naona akili yangu inadumaa tu kila siku elimu yangu niliyo nayo nimeshindwa kujiendeleza kwa sababu ya umaskini

Kwa hiyo nilikuwa napenda kupata abc za namna ya kufika huko nje ya nchi, namna ya kupata resident permit, jimbo gani au mkoa gani kwa huko nikifika nitapata kazi kwa urahisi, kodi za nyumba zipoje, gharama ya chakula na mengine nisiyoyajua

Elimu yangu form four passpor, ninayo na akiba yangu ni 3M.

Binafsi nchi nazozipenda ni USA, CANADA, GERMANY, AUSTRALIA na kwa Afrika ni MAURITUS

Wakuu karibuni mnipe muongozo wa kufika huko.
Kuwa makini sana kabla hujafanya maamuzi
 
Attachments

  • VID-20240711-WA0005.mp4
    11.4 MB

Kama una umri wa zaidi ya miaka 35 baki nyumbani because huko utakuwa unaenda kuanza maisha upyaaa. Ila kama ni GenZ nakutakia kila la kheri
 
Mkuu naona unapishana na wazungu wenzio wanakuja huku na wewe unaenda ahh sawa kola la heri
 
Had kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo.

Mambo yanayonikosea furaha

1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa.

2. Wazazi wangu wote wamefariki ndugu nao kwangu hawana msaada kwangu.

3. Hata kwenye mapenzi napo bado naumizwa tu yaani mtu hanisikilizi wala hanijali

5. Naona akili yangu inadumaa tu kila siku elimu yangu niliyo nayo nimeshindwa kujiendeleza kwa sababu ya umaskini

Kwa hiyo nilikuwa napenda kupata abc za namna ya kufika huko nje ya nchi, namna ya kupata resident permit, jimbo gani au mkoa gani kwa huko nikifika nitapata kazi kwa urahisi, kodi za nyumba zipoje, gharama ya chakula na mengine nisiyoyajua

Elimu yangu form four passpor, ninayo na akiba yangu ni 3M.

Binafsi nchi nazozipenda ni USA, CANADA, GERMANY, AUSTRALIA na kwa Afrika ni MAURITUS

Wakuu karibuni mnipe muongozo wa kufika huko.
Kwanini usipate ujuzi wowote ili milango ya handson ifunguke
 
Back
Top Bottom