Nataka kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya nchi

Kuwa makini sana kabla hujafanya maamuzi
 

Attachments

  • VID-20240711-WA0005.mp4
    11.4 MB
  • VID-20240711-WA0005.mp4
    11.4 MB
Kama una umri wa zaidi ya miaka 35 baki nyumbani because huko utakuwa unaenda kuanza maisha upyaaa. Ila kama ni GenZ nakutakia kila la kheri
 
Mkuu naona unapishana na wazungu wenzio wanakuja huku na wewe unaenda ahh sawa kola la heri
 
Kwanini usipate ujuzi wowote ili milango ya handson ifunguke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…