Nataka kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya nchi

Nijue kwanza form four passports ni nini! Kabla ya kufanya hivyo tafuta walioenda huko na mambo yakawashinda na kurudi ili wakupe changamoto.
 
Tuk 2024 tunabid tukue tuache utoto tusiee vijana wa taifa wanaowaza ujinga
Hahahaha pia mimi sio kijana , hapo ni utani tu wala usichukie seriously mkuu , just kufurah tu na kufanya mda uende wala sikua na maana yoyote .
 
Kama una leseni kubwa njoo nkupeleke catar muhimu uwe na leseni na pasport tu viza nauli juu yetu mshahara 1.5m mkataba ni miaka 2 means kurudi TZ ni mpaka baada ya miaka 2.

Pia kama utaweza/kubali kufanya supermarket pia karibu mshahara 900k kwa mwezi hapa kinachotakiwa ni passport hai tu.

NB:
Mshahara wa kwanza wa kazi ni wangu the rest unachukua mwenyewe
 
The goatlife yote heri lakini
 
Sawa kaka,ntakutafuta tuongee vizuri
 
Hahaha we mshara mkubwa wa nini nchi hii we pata ajira, kisha jiongeze. Unakuwa kama siyo mtanzania? yani uache mapesa haya uende nje?

Huko nje utafanya kazi sana, hapa Bongo kazi kidogo unasepa unatafuta rushwa ndogo ndogo kila siku unaendesha maisha.

Ni rahisi kuwa Tajiri Tanzania kuliko huko nje.
 
Hata ukiondoka utarudi kesho kwahiyo haina maana kuondoka, pili kama ndugu zako hawana msaada kwako basi wewe kuwa msaada kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…