Nataka kupiga chini huyu mwanamke

Chief kwani unaumia nn nikisema mke wangu ni msomi kwanini neno msomi wewe linakuwasha..
Mimi ni uni dropout itabaki kuwa hivyo mkuu mbona unapiga misumari sana. Na niliacha sio kwa kufeli wala kukosa ada mimi nilipata hela nikiwa chuo nikaona nasoma ili iweje sasa.
Sishindwi kumfungulia biashara lkn kwa uvivu wake hawezi biashara mimi ni mzoefu wa bizzness najua hawezi ni loss tu.
Unadhani anafaa kuwa na nani maana kama akishindwa kuwa na gentlemen kama mimi sidhani kama wapo watakaomuweza.
Mimi sio msomi lakini nina exposure kubwa kuliko wewe msomi uchwara.
 
Nilishafanya vikao vingi ndugu..alishakataa offer ya kazi baada tu ya internship..ajira kwake yeye sio shida kupata mzee wake alishampa kitengo akatosa mpaka nikaonekana mimi ndio ninamzuia kufanya kazi
 
Je wajua ukishasema “nataka kumuacha” practically unakuwa umeshamuacha?

Hukuwa tayari toka mwanzo na hapo ndipo tatizo lilipoanza, unajifanyia self sabotage.

Familia na jamii zi-normalize kutokulazimisha watu kuoa na kuolewa, ifike muda kila mtu afanye vitu kwa matakwa yake.

I see another child from a broken family, SMH!
 
"university dropout so sina professional," hauna professional umekazia udropout wako mr. Professional womenaiza ndiyo professional yako, tatizo ubongo ulipotoka kwenye kichwa chenye hadhi ukaenda kwenye kichwa mufilisi.
Stick kwenye mada kama hauna ushauri ziba tundu.. kwanza mwaka wa kwanza chuo wewe achana na mambo ya watu wazima asshole
 
Piga chini haraka afu utakayemuoa unakuta ni mvivu zaidi ya huyo au ni mpenda vigodoro afu utarudi hapa jukwaani tukupe ushauri wa kiutuuzima kama mwanamme namna ya kuishi na hawa viumbe
Nikipiga chini huyu siowi tena
 
Kwa Tanzania itachukua miska 50 ijayo wanawake kuwa na mawazo kama yako.

Siku hizi binti akifikisha 27yrs hajaolewa anakuwa stress hatari
 
Thanks bro umetoa bonge la advice of all..nitaongeza kukaza maana labda ananchukulia poa mimi ni rafiki zaidi na sina haiba ya ukali
 
sikulazimishwa lkn nilikumbushwa..sijamuacha mke wangu na ninampenda sana lkn udhaifu wake unataka kunishinda mapema sana
 
Waelez ukwel juu ya mwenendo mzur wa awali na mwenendo wa sasa ili u balance story then wao waachie jukumu lla kuongea na binti yao
Kakaa mwezi ulioisha tu baba mkwe aliniweka kikao anauliza mbona binti hafanyi kazi na wamemsomesha kwa gharama nyingi..alikuwa anahisi labda mm ndio namzuia kufanya kazi nikakosa jibu..
 
Kwa Tanzania itachukua miska 50 ijayo wanawake kuwa na mawazo kama yako.

Siku hizi binti akifikisha 27yrs hajaolewa anakuwa stress hatari
Tz mtihani sana, hakuna raha duniani kama kujutia kitu ulichojisababishia mwenyewe, kwanza huna wa kumlaumu na inafika muda unaanza kujicheka.

Kulazimishwa kitu/kujilazimisha kitu unakiingia ukiwa na self doubt za kutosha matokeo yake ni one mistake one goal, ni kama unakaa kwa kuvizia vizia.

Watu waachwe waamue mambo yao wenyewe bwana, considered si kila mtu anaweza kaa na mtu, kuna watu hawawezi kuishi na mtu yeyote wanaona kero sembuse uambiwe ukae nae to eternal!!!!?
 
Atapiga chini wangapi kila mtu ana mapungufu yake ajitahidi kua kiongozi tu kwenye nyumba yake ampe mke msimamo wake kuwa hiki sipendi ndani kwangu.
Bro msimamo ninao ila sioni mafanikio..imagine mpaka baba mkwe anahoji why alimsomesha binti yake kwa gharama alafu anakaa nyumbani tu au mm ndio namzuia?? Naona sio poa kumchomea kwa wazazi wake
 
Mkuu imetosha
 
🤔Maybe she was desperate but we have a kid together now...anapaswa kuact matured
Amua, kimnyoosha mkeo ni maamuxi, inahitaji hekima na busara


Panga outing na kila out baada ya kufurahi...mwambie kwq upendo wa hqli ya juu yale anayokukwazq, epuka kumsomea risalq.

Mwambie kitu kimoja kwa kila out.

Zingatia...ongea kwa upendo
 
Mfanyabiashara tena wa kusafiri mara kwa mara halafu huijui tuu michezo dah unatuangusha ww jamaa.
Ushasema ulikuwa na mademu wa kutosha kabla hujaoa sasa unategemea nini kwa wale ulowapiga chini.....Acha uboya bro wake up muokoe mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…