Nataka kupiga chini huyu mwanamke

Nataka kupiga chini huyu mwanamke

Amua, kimnyoosha mkeo ni maamuxi, inahitaji hekima na busara

Panga outing na kila out baada ya kufurahi...mwambie kwq upendo wa hqli ya juu yale anayokukwazq, epuka kumsomea risalq.

Mwambie kitu kimoja kwa kila out.

Zingatia...ongea kwa upendo
Sijui kama itaworkout maana nilishampeleka vacay campsbay capetown wiki mbili nikijua labda anastress kumbe wapi kurudi nyumbani mwendo ni ule ule kuamka saa4 kitoto nikisafiri kidogo nakikuta kimepungua maana ni beki tatu ndio anajua kula yake
 
Tz mtihani sana, hakuna raha duniani kama kujutia kitu ulichojisababishia mwenyewe, kwanza huna wa kumlaumu na inafika muda unaanza kujicheka.

Kulazimishwa kitu/kujilazimisha kitu unakiingia ukiwa na self doubt za kutosha matokeo yake ni one mistake one goal, ni kama unakaa kwa kuvizia vizia.

Watu waachwe waamue mambo yao wenyewe bwana, considered si kila mtu anaweza kaa na mtu, kuna watu hawawezi kuishi na mtu yeyote wanaona kero sembuse uambiwe ukae nae to eternal!!!!?
Huwa natamani kuwafundisha vitu hivi viwili yaani kuwa na;
1. MAHAKAMA YA NDANI
2. HOSPITALI YA NDANI

1. MHAKAMA YA NDANI
Kuwa na uwezo wa kuhukumu kwa haki yaani uwe na uwezo wa kujihukumu hata mwenyewe na kujitia hatiani.

Hii maana yake nini?
Unapogundua kosa flani ulisababisha wewe OMBA RADHI HATA KWA MTOTO

2. HOSPITALI YA NDANI

Kuwa na uwezo wa kujiponya majeraha ya ndani bila hata watu kugundua au kushirikisha wwngine.

NITARUDI
 
Sijui kama itaworkout maana nilishampeleka vacay campsbay capetown wiki mbili nikijua labda anastress kumbe wapi kurudi nyumbani mwendo ni ule ule kuamka saa4 kitoto nikisafiri kidogo nakikuta kimepungua maana ni beki tatu ndio anajua kula yake
Ninavyojua hakuna ke hawezi kupindua kwa mwanaume timamu na mwenye hekima.
 
Huwa natamani kuwafundisha vitu hivi viwili yaani kuwa na;
1. MAHAKAMA YA NDANI
2. HODPITALI YA NDANI

1. MHAKAMA YA NDANI
Kuwa na uwezo wa kuhukumu kwa haki yaani uwe na uwezo wa kujihukumu hata mwenyewe na kujitia hatiani.

Hii maana yake nini?
Unapogundua kosa flani ulisababisha wewe OMBA RADHI HATA KWA MTOTO

2. HOSPITALI YA NDANI

Kuwa na uwezo wa kujiponya majeraha ya ndani bila hatq watu kugindua au kushirikisha wwngine.

NITARUDI
Preach brother , preach!
 
Tz mtihani sana, hakuna raha duniani kama kujutia kitu ulichojisababishia mwenyewe, kwanza huna wa kumlaumu na inafika muda unaanza kujicheka.

Kulazimishwa kitu/kujilazimisha kitu unakiingia ukiwa na self doubt za kutosha matokeo yake ni one mistake one goal, ni kama unakaa kwa kuvizia vizia.

Watu waachwe waamue mambo yao wenyewe bwana, considered si kila mtu anaweza kaa na mtu, kuna watu hawawezi kuishi na mtu yeyote wanaona kero sembuse uambiwe ukae nae to eternal!!!!?
Mistake zinatokea na ni kawaida sio tz tu ni duniani kote...nyie wanawake kabla ya kuolewa mnajituma sana mkiolewa mnatoa makucha mlioficha so sio makosa yangu
 
Huwa natamani kuwafundisha vitu hivi viwili yaani kuwa na;
1. MAHAKAMA YA NDANI
2. HODPITALI YA NDANI

1. MHAKAMA YA NDANI
Kuwa na uwezo wa kuhukumu kwa haki yaani uwe na uwezo wa kujihukumu hata mwenyewe na kujitia hatiani.

Hii maana yake nini?
Unapogundua kosa flani ulisababisha wewe OMBA RADHI HATA KWA MTOTO

2. HOSPITALI YA NDANI

Kuwa na uwezo wa kujiponya majeraha ya ndani bila hatq watu kugindua au kushirikisha wwngine.

NITARUDI
Fanya urudi umwage madini
 
Tatizo lako umeoa kwa kushinikizwa na wazazi na sio kwa utayari wako,
Ndoa sio ya kila mtu,ndoa ni kwa watu wanaojielewa na kuyajua maisha ya ndoa ni nini,

Umri wako ni mkubwa ila bado una akili za kitoto,labda tu uwe umeamua kutunywesha chai kwenye hii thd.
hapo utoto uko wapi...ebu nielimishe wewe kungwi la mambo ya ndoa
 
Mtoa mada kama mmemsoma anataka Mwanamke amsaidie majukumu.. kuzunguka kote huko anataka Mwanamke awe provider na afaidi mshahara wa Mwanamke.
Wanaume waliofanikiwa wote hawana wanawake wavivu mimi sihitaji mshahara wa mwanamke lkn sitaki golikipa
 
Back
Top Bottom