Nataka kurudiana na X wangu baada ya miaka minane. Ushauri

Wanawake wapo sana,

Nilitowa mahari wakati huwo ila sikumaliza baadhi ya vitu,upande wao wana hasira na mimi,wananiona kama tapeli wakati mtoto wao ndiyo hakuwa mvumilivu.
Ndo maana nimekwambia uchumbie upya, kumbe wana hasira na wewe? Sasa anza upya ukipigwa kibuti ndo utajua kumbe bifu la zamani halijaisha.
 
Moja kati ya ushauri wa hovyo ni huu
 
Habari za wakati huu wadau?

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.

Karibuni.
Wewe ndio mwenye maamuz ya mwisho kweny ILO maan mapungufu yake unayaelewa sis ni watazamaji tuu
 
Habari za wakati huu wadau?

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.

Karibuni.
Hehehe
 
Alikuwa malaika wa Shetani kwa sasa kafuzu kuwa Shetani kamili.
Rudiana naye ufe mapema ama uishi jela kwa kumchoma na moto wa mkaa.
 
Ukiona unatembea "msituni" na katika zunguka yako ukaona "mti" huo huo mara tatu jua umepotea.
Anza safari upya.
 
Wiki hii naenda kuoa ex wangu wa miaka 9 iliopita. Hatukuachana kwa usaliti bali utoto ulichangia kwa asilimia 90. Tulitafutana kwa muda mrefu na hatimae tumeonana na tunaona. Nampenda sana huyu kiumbe. Ngoja niitolee thread kwa hisia.
 
Habari za wakati huu wadau?

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.

Karibuni.
miaka 8 kurudiana sifanyi biashara hiyo
 
Ndoa
Habari za wakati huu wadau?

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.

Karibuni.
unajua ndoa inaanzia kwenye ulimwengu wa roho %100. Katika ulimwengu wa roho unaona nini, na kama unaona huyo kweli ni Mungu aliye kupa unamuona mko wote na wenye upendo hapo fanya haraka muoane lakin kwenye ulimwengu wa roho kama hakuna upendo ni chuki kimbia huyo sio wa kwako pia ninachokushauri muulize Mungu kama huyo ni ubavu wako? inawezekana sio wakwako na pia ndoa ni kuombeana sio mchezo mshirikishe Mungu naye atajibu haja ya moyo wako
 
Wiki hii naenda kuoa ex wangu wa miaka 9 iliopita. Hatukuachana kwa usaliti bali utoto ulichangia kwa asilimia 90. Tulitafutana kwa muda mrefu na hatimae tumeonana na tunaona. Nampenda sana huyu kiumbe. Ngoja niitolee thread kwa hisia.
UKO SAHIHI SANA, MSAMEHE, OA, LAKN USIMHOJI KUHUSU MAHUSIANO YAKE YALIKUAJE KIPINDI HICHO CHA MIAKA TISA,
MSAMEHE SANA, USIMUWAZIE MABAYA,
MUOMBEE KWA IMANI YAKO UNAYOIAMINI NA WEWE USISITE KUJIOMBEA

TAHADHARI: mchunguze kwanza kabla ya kufunguka kwake kuhusu mali unazomiliki{asset zote} including financial asset.
 
Sa na wewe uliamuaje kumpeleka mwanamke akaishi na wazazi wako na bado hamjaoana? Unazijua kero za kuishi na wakwe?
Ulitakiwa ukae nae hivyo hivyo mpambane na maisha pamoja, na hapo ndo ilikuwa ndo muda wa kumpima
 
Yeye tu ndio kajazwa sumu wewe je???
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ LIFE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…