Nataka kusafiri Dar-Mbeya kwa Toyota IST, nijuzeni haya

Dar - Mbeya ni km 822.
IST full tank ni litre 45. Fanya yafuatayo pindi utapoanza safari yako;
1) Nakushauri anza safari atleast saa 10 alfajiri ili kuepuka msongamo wa morogoro road na hvyo waweza jikuta umetumia Masaa mawili tu kufika Moro.
2) Safiri siku ya jumapili kwa maana kutakuwa hakuna tochi nyingi wala usumbufu sana.
3) IST highway inaweza kula hadi litre 1 kwa km 18 kutegemeana na uendeshaji wako+ubora wa gari yako.
4) Endesha IST kwenye speed 100 - 120 chini ya Rpm 3, na juu ya Rpm 2. hapo utatumia mafuta kidogo sana
5) kwa km 822 za dar mbeya , hvyo waweza jikuta umetumia litre 45 yaani ukiweka full tank waweza kufika mbeya bila kuongeza, lakini ni ngumu. hvyo wastani wa mafuta waweza kuwa litre 1 kwa km 16 kwa sababu sio seheme zote waweza endesha kwa speed kati ya 100 - 120 ,hvyo jumla ya mafuta dar to mbeya yaweza kuwa litre 52 .
6) Ukifika Makambako ongeza mafuta ili kupata jumla ya litre 52.
7) IST ni gari nyepesi sana ina kg 1000. usiendeshe kwa speed zaidi ya 120 kwa maana waweza pata ajali, asikuongopee MTU na kukwambia eti yangu naendesha hadi speed 140, 160.
8) Heshimu sana alama za barabarani
9) kwa wastani wa hapo juu ukitoka dar SAA 10 alfajiri waweza fika mbeya saa 11 au kama utasimama sana njiani waweza fika saa 12. Usiweke vituo vingi sana njiani, ukitoka dar nenda kapumzikie Mikumi, then kapumzike Makambako then nyoosha mbeya.
10) Epuka kumpa lift mtu usiyemjua ukiwa safarini.

Bonus;
unaenda lini? kuna kamzigo nataka nitume huko unisaidie kukabeba
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooddddddddddddd kaka hakuna cha kupunguza hapo
 
We ni tunu ya taifa.kamzigo ndo umetuacha hoi.big up
 
Rpm ndo nini mkuu, tuelimishe tafadhali
RPM ni Rotation Per Minute,huu ni mzunguko wa engine kwa kila dakika moja,kwahiyo kila ile gauge inapozidi kupanda maana yake ni kuwa mzunguko wa engine ya gari yako nao unaongezeka na ulaji wa mafuta kwa gari yako unaongezeka..
 
Eh okay,sasa naitumiaje au najuaje kwny uendeshaji wa kila siku..
Mhh au ts okay hata nisipojua
 
HAKIKISHA UNAJUA KUSOMA MATATIZO MADOGO YA GARI

USISAHAU KUNYWA ENERGY DRINK

SWALI
MI SIJAWAH KUONA KIBAO KIMEANDIKWA ZAID YA KM 100
 
Eh okay,sasa naitumiaje au najuaje kwny uendeshaji wa kila siku..
Mhh au ts okay hata nisipojua
Kama umeenda driving school hivi vitu wala sio vya kuuliza ,ila kama umejua tu gari na kuendesha bila hata ya kujua dashboard yako imebeba vitu gani,itakupa shida kidogo..
 
Ss unatusaidiaje mana ndo hvo wengi tumejifunzia nyumbani tu
 
Dar - Mbeya ni km 822.
IST full tank ni litre 45. Fanya yafuatayo pindi utapoanza safari yako;
1) Nakushauri anza safari atleast saa 10 alfajiri ili kuepuka msongamo wa morogoro road na hvyo waweza jikuta umetumia Masaa mawili tu kufika Moro.
2) Safiri siku ya jumapili kwa maana kutakuwa hakuna tochi nyingi wala usumbufu sana.
3) IST highway inaweza kula hadi litre 1 kwa km 18 kutegemeana na uendeshaji wako+ubora wa gari yako.
4) Endesha IST kwenye speed 100 - 120 chini ya Rpm 3, na juu ya Rpm 2. hapo utatumia mafuta kidogo sana
5) kwa km 822 za dar mbeya , hvyo waweza jikuta umetumia litre 45 yaani ukiweka full tank waweza kufika mbeya bila kuongeza, lakini ni ngumu. hvyo wastani wa mafuta waweza kuwa litre 1 kwa km 16 kwa sababu sio seheme zote waweza endesha kwa speed kati ya 100 - 120 ,hvyo jumla ya mafuta dar to mbeya yaweza kuwa litre 52 .
6) Ukifika Makambako ongeza mafuta ili kupata jumla ya litre 52.
7) IST ni gari nyepesi sana ina kg 1000. usiendeshe kwa speed zaidi ya 120 kwa maana waweza pata ajali, asikuongopee MTU na kukwambia eti yangu naendesha hadi speed 140, 160.
8) Heshimu sana alama za barabarani
9) kwa wastani wa hapo juu ukitoka dar SAA 10 alfajiri waweza fika mbeya saa 11 au kama utasimama sana njiani waweza fika saa 12. Usiweke vituo vingi sana njiani, ukitoka dar nenda kapumzikie Mikumi, then kapumzike Makambako then nyoosha mbeya.
10) Epuka kumpa lift mtu usiyemjua ukiwa safarini.

Bonus;
unaenda lini? kuna kamzigo nataka nitume huko unisaidie kukabeba

umenfurahisha apo kwny bonus
 
Wakuu nimedhamiria kusafiri kutoka DAR kwenda MBEYA kwa kutumia TOYOTA IST, lengo ni kufika MBEYA kabla ya saa saa moja jioni. Naomba kujuzwa vitu vya kuzingatia ili kufanikisha safari hii kama:
  • Muda wa kutoka Dar
  • Mwendokasi wa gari (Kilometer per hour)
  • Maeneo yenye tochi
  • Maeneo na muda wa kupumzika
  • Vitu vya kuchukua vya usalama (safety gear)
  • Kiasi cha petroli kitakachotumika
Mnaweza kuniongezea vitu vya ziada vya kuzingatia kwa kadri mtakavyoona yafaa ili nifanikishe safari hii
Ulifaa sana kusaidia uchambuzi wa makinikia [emoji4]
 
Dar - Mbeya ni km 822.
IST full tank ni litre 45. Fanya yafuatayo pindi utapoanza safari yako;
1) Nakushauri anza safari atleast saa 10 alfajiri ili kuepuka msongamo wa morogoro road na hvyo waweza jikuta umetumia Masaa mawili tu kufika Moro.
2) Safiri siku ya jumapili kwa maana kutakuwa hakuna tochi nyingi wala usumbufu sana.
3) IST highway inaweza kula hadi litre 1 kwa km 18 kutegemeana na uendeshaji wako+ubora wa gari yako.
4) Endesha IST kwenye speed 100 - 120 chini ya Rpm 3, na juu ya Rpm 2. hapo utatumia mafuta kidogo sana
5) kwa km 822 za dar mbeya , hvyo waweza jikuta umetumia litre 45 yaani ukiweka full tank waweza kufika mbeya bila kuongeza, lakini ni ngumu. hvyo wastani wa mafuta waweza kuwa litre 1 kwa km 16 kwa sababu sio seheme zote waweza endesha kwa speed kati ya 100 - 120 ,hvyo jumla ya mafuta dar to mbeya yaweza kuwa litre 52 .
6) Ukifika Makambako ongeza mafuta ili kupata jumla ya litre 52.
7) IST ni gari nyepesi sana ina kg 1000. usiendeshe kwa speed zaidi ya 120 kwa maana waweza pata ajali, asikuongopee MTU na kukwambia eti yangu naendesha hadi speed 140, 160.
8) Heshimu sana alama za barabarani
9) kwa wastani wa hapo juu ukitoka dar SAA 10 alfajiri waweza fika mbeya saa 11 au kama utasimama sana njiani waweza fika saa 12. Usiweke vituo vingi sana njiani, ukitoka dar nenda kapumzikie Mikumi, then kapumzike Makambako then nyoosha mbeya.
10) Epuka kumpa lift mtu usiyemjua ukiwa safarini.

Bonus;
unaenda lini? kuna kamzigo nataka nitume huko unisaidie kukabeba
Umeanza vizr kalni mwisho ukapiga mzinga sio mbaya umetusaidia na wenginie
 
Well stated
 
Back
Top Bottom