Nataka kusafiri Dar-Mbeya kwa Toyota IST, nijuzeni haya

Dar - Mbeya ni km 822.
IST full tank ni litre 45. Fanya yafuatayo pindi utapoanza safari yako;
1) Nakushauri anza safari atleast saa 10 alfajiri ili kuepuka msongamo wa morogoro road na hvyo waweza jikuta umetumia Masaa mawili tu kufika Moro.
2) Safiri siku ya jumapili kwa maana kutakuwa hakuna tochi nyingi wala usumbufu sana.
3) IST highway inaweza kula hadi litre 1 kwa km 18 kutegemeana na uendeshaji wako+ubora wa gari yako.
4) Endesha IST kwenye speed 100 - 120 chini ya Rpm 3, na juu ya Rpm 2. hapo utatumia mafuta kidogo sana
5) kwa km 822 za dar mbeya , hvyo waweza jikuta umetumia litre 45 yaani ukiweka full tank waweza kufika mbeya bila kuongeza, lakini ni ngumu. hvyo wastani wa mafuta waweza kuwa litre 1 kwa km 16 kwa sababu sio seheme zote waweza endesha kwa speed kati ya 100 - 120 ,hvyo jumla ya mafuta dar to mbeya yaweza kuwa litre 52 .
6) Ukifika Makambako ongeza mafuta ili kupata jumla ya litre 52.
7) IST ni gari nyepesi sana ina kg 1000. usiendeshe kwa speed zaidi ya 120 kwa maana waweza pata ajali, asikuongopee MTU na kukwambia eti yangu naendesha hadi speed 140, 160.
8) Heshimu sana alama za barabarani
9) kwa wastani wa hapo juu ukitoka dar SAA 10 alfajiri waweza fika mbeya saa 11 au kama utasimama sana njiani waweza fika saa 12. Usiweke vituo vingi sana njiani, ukitoka dar nenda kapumzikie Mikumi, then kapumzike Makambako then nyoosha mbeya.
10) Epuka kumpa lift mtu usiyemjua ukiwa safarini.

Bonus;
unaenda lini? kuna kamzigo nataka nitume huko unisaidie kukabeba
Wasiwe wasomari[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwa maelezo haya itabidi kamzigo kako akabebe tu.. hana budi..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umetisha mkuu! Upo vzr sana
 
[emoji23] [emoji23] Unaweza kunipitishia Tani 7 za bangi hapo Morogoro mkuu
 
Umefanya upembuz yakinifu, sasa hizi ndo akili kubwa a.k.a ugreat thinker
 
Hahaha.....

Jamaa amejitahidi kumuelewesha hivyo mhusika

Kweli akatae kumubebea kimzigo chake?

Itakuwa siyo uungwana

hii tabia ya kumfanyia mtu wema kwa sababu ametanguliza wema ni hatari sana. Lazima uchunguze na uwe makini. Kubeba mzigo wa mtu usiyemfahamu eti kisa kauonyesha njia.... ohooo hayaaaaa
 
Dar - Mbeya ni km 822.
IST full tank ni litre 45. Fanya yafuatayo pindi utapoanza safari yako;
1) Nakushauri anza safari atleast saa 10 alfajiri ili kuepuka msongamo wa morogoro road na hvyo waweza jikuta umetumia Masaa mawili tu kufika Moro.
2) Safiri siku ya jumapili kwa maana kutakuwa hakuna tochi nyingi wala usumbufu sana.
3) IST highway inaweza kula hadi litre 1 kwa km 18 kutegemeana na uendeshaji wako+ubora wa gari yako.
4) Endesha IST kwenye speed 100 - 120 chini ya Rpm 3, na juu ya Rpm 2. hapo utatumia mafuta kidogo sana
5) kwa km 822 za dar mbeya , hvyo waweza jikuta umetumia litre 45 yaani ukiweka full tank waweza kufika mbeya bila kuongeza, lakini ni ngumu. hvyo wastani wa mafuta waweza kuwa litre 1 kwa km 16 kwa sababu sio seheme zote waweza endesha kwa speed kati ya 100 - 120 ,hvyo jumla ya mafuta dar to mbeya yaweza kuwa litre 52 .
6) Ukifika Makambako ongeza mafuta ili kupata jumla ya litre 52.
7) IST ni gari nyepesi sana ina kg 1000. usiendeshe kwa speed zaidi ya 120 kwa maana waweza pata ajali, asikuongopee MTU na kukwambia eti yangu naendesha hadi speed 140, 160.
8) Heshimu sana alama za barabarani
9) kwa wastani wa hapo juu ukitoka dar SAA 10 alfajiri waweza fika mbeya saa 11 au kama utasimama sana njiani waweza fika saa 12. Usiweke vituo vingi sana njiani, ukitoka dar nenda kapumzikie Mikumi, then kapumzike Makambako then nyoosha mbeya.
10) Epuka kumpa lift mtu usiyemjua ukiwa safarini.

Bonus;
unaenda lini? kuna kamzigo nataka nitume huko unisaidie kukabeba
Nimependa bonus
 
Back
Top Bottom