Hiyo username ina maneno mengi kuliko yanayohitajika.Bangi si nzuri ukivutia chooni
Hili la JF founder hapana.Tafuta jingine Boss wangu.maxeme mello
anaitwa maxeme melo na si maxeme melloHili la JF founder hapana.Tafuta jingine Boss wangu.
Mule mule Bob....Achana na hilo jina.anaitwa maxeme melo na si maxeme mello
Boss umejuaje haziruhusiwi?Multi Id JamiiForums haitakiwi mkuu,why usiwaombe Mods wakubadilishie hii unayotumia?nasikia ukiomba unakubaliwa.
[emoji736]Multi Id JamiiForums haitakiwi mkuu,why usiwaombe Mods wakubadilishie hii unayotumia?nasikia ukiomba unakubaliwa.
Sawa Boss wangu, hiyo sig. yako inaniachia maswali mengi sana.....mna beef kati yenu?Jiite di.kteta uchwara
Kuna mtu analitumia Mkuu.Juma pondamali
Kwani kuna kitu kwenye sig. Ni uongo? Na kwanini niwe na bifu nae?Sawa Boss wangu, hiyo sig. yako inaniachia maswali mengi sana.....mna beef kati yenu?
Sawa Boss, kila kitu kimeeleweka na ni kweli kabisa.Kwani kuna kitu kwenye sig. Ni uongo? Na kwanini niwe na bifu nae?
Hilo ni jina la Mh. RC, si vema kulikebehi.Makonda
Username itakuwa refu sana Mkuu.Jiite " on behalf of myself"
Kuna siku walinipiga Ban nikafungua Id nyengine kulalamika baada ya kusikilizwa ikafutilitiwa mbali!hata nilipotaka ku-login na ile acc haikupatikana tena hadi leo.Boss umejuaje haziruhusiwi?