Nataka kutengeneza id ya pili, nipatie username

Nataka kutengeneza id ya pili, nipatie username

Multi Id JamiiForums haitakiwi mkuu,why usiwaombe Mods wakubadilishie hii unayotumia?nasikia ukiomba unakubaliwa.
 
Boss umejuaje haziruhusiwi?
Kuna siku walinipiga Ban nikafungua Id nyengine kulalamika baada ya kusikilizwa ikafutilitiwa mbali!hata nilipotaka ku-login na ile acc haikupatikana tena hadi leo.
 
Back
Top Bottom