Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo demu.Miss chagga
Safi sana Boss....nitalifikiria.Poyoyo ni zur
Asante sana Boss wangu,...nitafikiri jina bora zaidi kwenye list yako.Jiite: Desa, ubaruku, tecno, pombe, dangote, bombadier, trump
ni jina tuLinamaanisha nini?
Huyo ni mchezaji wa football?Lavezz
Sawa Boss,...nitayapitia yote.ni jina tu
Mkuu umetisha kama jeshi....Pasi shaka nitapatamo moja, hata kwa kuyahybridize.Upo Nigeria? coz majina ya kinaijeria hayo.Ukikosa jina hapo sasa
mtafute huyu mtu, Cookie atakusaidia kwa haraka na kwa ukarimu sana.Ata Mimi nataka kubadikisha id yangu nashindwa pa kuanzia
Sina hata chura mdogo.Chura kubwa
Kazi si kitoto ndugu yangu.Chagua;
1. Chato airport
2. Mgeni Ikulu, Mwingi wa mateso
3. Msukuma exclusive
4. Magumaja (kirefu ukihitaji nambie)
taga tuoneHiyo hapana.
Shukrani Mdau,....soon naachi kitu kipya.Chempoo
Alah!taga tuone