Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

Story ni ya Upande mmoja, Company zanye share holders wengi nazo hua na mazonge yake, KIla Bosi unaweza kuta na Chawa wake, maisha hua fitna kwenda mbele. Isijekua baada bosi wako kuchomoka ukabaki uchi bila ya kinga ukaanza ku attackiwa halafu unakuja kulialia hapa.
 
Hela zote usiweke kwenye nyumba za kupangisha, km ni fremu ya kupangisha nafikiri ni bora zaidi

Ila pia usiwe na haraka, bora uuze then uweke hela UTT, wakati unafikiria biashara nzuri itakayolipa.

Kila la heri.
Hiii UTT ivi unatapa gawio asilimia ngapi na Kwa kila muda gani apa nazungumzia UTT Amis
 
Pole sana kwa changamoto, hakuna barabara iliyonyooka, lazima ukutane na kona kona.

Una hakika Tandika hizo nyumba za milioni 15 zipo au?
TAFUTA SOKO LA NG'OMBE NJOO HUKO MOROGORO WEKA CAMP YA KUNENEPESHA NG'OMBE USIUZE GARI HIYO HUKU BARA PIA ZINATUMIKA,JIFUNZE UDEREVA NJOO MORO NIKUONGOZE UKAANZIE UKULIMA. MIDUGO.
 
Uza kiw
TAFUTA SOKO LA NG'OMBE NJOO HUKO MOROGORO WEKA CAMP YA KUNENEPESHA NG'OMBE USIUZE GARI HIYO HUKU BARA PIA ZINATUMIKA,JIFUNZE UDEREVA NJOO MORO NIKUONGOZE UKAANZIE UKULIMA. MIDUGO.
Uza kiwanja tuu
 
Hizo nyumba za milioni 15 chanika/tandika ni za udongo? nimeaoma story yako nkajua una akili, mwishoni nikatambua hata huko zanzibar haujajenga hii ni chai
Nyumba izo zipo mkuu ata mimi namtetea mwaka jana baba yangu mdogo alinunua nyumba tandika maeneo ya dabokibini ya urithi milion 13 tu na ina umeme ila ni zile mbovu mbavu za mbwa na ina wapangaji wanalipa 20k to 25k kodi kwa mwezi na mwaka juzi pia alinunua nyumbq tandika milion 9 tu ya urithi nayo mbavu za mbwa ile haikuw na umeme akaikarabati akauza 45m.
 
Pole Sana.

Kwa ulichopitia

Mawazo yako sio mabaya Ila usifungue biashara ya pombe
 
Wewe itabidi urudi kwenu ukalime tu kwasababu umeshindwa kujiongeza connection na wageni unayo unashindwa vipi kujiongeza
 
Nhoja nikamtomgoze wangu pia, naleta mrejesho
 
Nhoja nikamtomgoze wangu pia, naleta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…