Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

Nhoja nikamtomgoze wangu pia, naleta mrejesho
 

Samaleko mrembo kiziwi. 😎

-Kaveli-
 
Mganga wa nini😳
Waafrika wenyewe, wabara ukiwawekea biashara watakupoteza dakika sifuri tu. Zanzibar biashara nyingi target ni wazungu... Hasa zile zilizo katika center ya jiji (mji mkongwe mpaka malindi) na maeneo mengi yaliyokamatana na fukwe.. Ofkooz zimesimama vizur na hazipigwi mafataki/manyukilia
 
Baki hukohuko Zanzibar na kua full-time self-employed taratibu mambo yatajipa
 
Wewe upo unguja?
 
Siitikii hiyo ni mtego! 😀

Mi sijambo sijui wewe, been ages!!!!

Kwamba umesanuka chap hako kamtego 😄. Wacha nifanye reshuffle of my strategies. Next time around lazima unase. 😎

Yes rafiki, kwakweli it has been a while without retouching our base. Unaadimika sana hapa na kuleeee 🤫.

Mie pia am doing fine and healthy. Many thanks to the almighty.

-Kaveli-
 
Vizuri kusikia uko salama Kaveli.
 
Ulishapiga hatua ila mdomo wa mtu ukakuponza, gipe moyo kwani riziki ni mahali popote.
 
Zanzibar ukiondoa utalii hakuna biashara ya halali utafanya MTU wa bara ikutoe sababu ya ubaguzi. Ukiweka duka hawanunui kwako wenyewe wanaita CHOGO au WANYAMWEZI. Bakhresa mzanzibari lakini kakimbia kwao yupo Oysterbay
 
Hela nyingi Zanzibar ipo kwenye biashara ya pombe, bangi, kitimoto na mazao ya kilimo. Hapo utapiga heka. Wewe uwe unaingiza kutokea bara uuze kwa jumla
 
Zanzibar ukiondoa utalii hakuna biashara ya halali utafanya MTU wa bara ikutoe sababu ya ubaguzi. Ukiweka duka hawanunui kwako wenyewe wanaita CHOGO au WANYAMWEZI. Bakhresa mzanzibari lakini kakimbia kwao yupo Oysterbay

acha story za vijiweni
 
100m urudi. Alafu ununue nyumba, alafu ufungue duka ndugu aaaaanh. Mbona unarudi chini sana. Si bora hata duka la jumla.
Think twice.
 
Pole sana
 
Ningekushauri uchukue iyo gari ukae wewe mwenyewe usiweke dereva,uwe unakodisha na kuifanya uber.

Then umalizie finishing nyumba yako uunganishe na Airbnb ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa miji ya kitalii kama iyo.

So utakuwa na income revenue mbili Airbnb na gari lako kisha uje ujenge icho kiwanja kingine usiuze maana fedha hazikosi matumizi unashangaa unaanza zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…