Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto.
Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume.
Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine ambaye ana hamu ya kuwa na mtoto. Hivyo anakuja kukaa siku 3 kwenye geto langu kwa lengo moja tu......kubebeshwa mimba.
Nikimalizana na huyu wiki hii, wiki ijayo kuna mdada ana mtoto mmoja lkn kazinguana na baba mtoto wake. Naye tumeingia makubaliano azae mtoto mmoja.
Na kama kuna mdada mwingine humu JF ambaye angependa kupata huduma ya kubebeshwa mimba basi anicheki inbox. Siku 3 zinatosha kwa mwanadada kupokea mtoto.
N.B: Kumbuka nitasaidia ktk malezi ya mtoto mpk atakapofikisha miaka 3, baada ya hapo namchukua na atalelewa na mimi. Kama hutaki kafie mbele huko.